Farhia Middle anywea kuendelea kuhoji rushwa kutoka kwa Abdul kwenda kwa Tundu Lissu

Aliulizwa na Chief Odemba ila akaleta kona kona nyingi kwa kusema kuwa hataki kuchafua hali ya hewa
 
Huyu mama huwa sioni hata maswali ya maana anayouliza, ajifunze kwa Odemba
 
Hivi yule John Mrema atakosa kwenye orodha aliyopewa Tundu Lissu na Abdul kweli?
 
eti ndio mpinzani huyo🀣

unatahadharisha kusema ukweli? surely?

muoga siku zote ni muongo tru kama hivyo..mtu muoga kama huyo asie jasiri wa kusema Ukweli atamuongoza nani kwa mfano...

sema kweli nayo kweli ikuweka huru πŸ’
Nyinyi ndio mlioaminishwa kama mtanunuliwa noha,

Yaani uozo wote uko ccm huko kila aina ya dhambi inafanywa na viongozi dhaifu wasioweza kupingwa.
 
Nyinyi ndio mlioaminishwa kama mtanunuliwa noha,

Yaani uozo wote uko ccm huko kila aina ya dhambi inafanywa na viongozi dhaifu wasioweza kupingwa.
epuka kuwaza kishirikina na kua na potofu gentleman,

Amini Mungu Pekee, Anaweza πŸ’
 
Kishirikina kivipi hapo nilichokiandika kwamba hakifanyiki ccm?
hizo za kuamini sijui wapi kinafanyika au hakifanyiki nini ndio ushirikina wenyewe....

Nakushauri kuzingatia Kumuamini Mungu Pekee na utafanikiwa πŸ’
 
eti ndio mpinzani huyo🀣

unatahadharisha kusema ukweli? surely?

muoga siku zote ni muongo tru kama hivyo..mtu muoga kama huyo asie jasiri wa kusema Ukweli atamuongoza nani kwa mfano...

sema kweli nayo kweli ikuweka huru πŸ’
Alimtahadhalisha muuliza maswali.
Yeye kuwekwa ndani na kuwa na makes ya ajabu ajabu kazoea.
Je kwa binti kama yule anaweza misukosuko.
Jibu la mtangazaji lingekuwa 'nimejiandaa' ili yeye ashushe nyavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…