kwa aina na kiwango cha uoga anachokionyesha huyo muungwana, ni dhahiri pasina shaka yoyote, Lazima atakua ni raia wa ubeligiji tu huyo, haInawezekana wewe siyo raia wa nchi hii! Kwa mujibu wa sheria za nchi hii ukimfumania njemba na mke wako unatakiwa kwenda kulalamikia Jamuhuri ili ichukue hatua ulipwe fidia!
Hilo nalo hulijui?
binafsi siwezi kubabaika na mambo ya kishirikiana gentleman πMungu namuamini sana.
Ila jua hilo nililokwambia.
Huna hoja mbwa wewe!kwa aina na kiwango cha uoga anachokionyesha huyo muungwana, ni dhahiri pasina shaka yoyote, Lazima atakua ni raia wa ubeligiji tu huyo, ha
hakuna haja ya kujificha kwenye sheria kana kwamba kwenye chama chake hakuna sheria juu ya mambo haya anayoyalalamikia kwa muda mrefu bila kuchukua hatua π
Amtaje majina matatu ya huyo anayemtuhumu!Kila siku hoja ni hiyo hiyo ya Abdul π€£π€£
Hilo utakuwa umshirikina huko uliko maana hakuna coment nilioelezea au kutaja ushirikina. Ukishakuwa mpiga ramli kila kinachozungumzwa unahisi kila mtu na yeye yupo kwenye kundi.binafsi siwezi kubabaika na mambo ya kishirikiana gentleman π
Inategemea uko Nchi gani !Nafikiri unapokuwa mwandishi wa habari hautakiwi kuwa muoga.