'Farouk Tech' inawafaa wengi hapa nchini kukomesha wizi: Mwizi akutwa amelala ndani ya gari

huyu mzee ni balaa kweli huu usingizi sijapata kuuona kabisa 🔥 maajabu zaidi mwizi kaamswa na zaidi ya vibao vitatu na kumwagiwa maji juu kulala gani huku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 angetutajia tu huyu fundi na sisi tumtafute tumechoka kuibiwa bhana.
Picha la kihindi limechezwa hapo, ila lengo lake kamili sijalijua. 1. Mganga wa kienyeji CV yake inatakatishwa? 2. Mwenyewe ame-direct hili picha ili kuwaogofya vibaka wasimsumbue tena? Kuna nadharia nyingi tu lakini kitu kilicho wazi ni kuwa mimi siwezi kuchotwa mawazo na hili picha la kihindi...
 
Video yake hii hapa
View attachment 1466283

Jr[emoji769]

Unalizungumziaje hili tukio mashana jr ukiwa kama balozi wa kudumu na Mwakilishi mkazi wa kanda ya afrika mashariki ukiwakilisha Tasisi ya wachawi na waganga duniani

Tuambie Hii level ilotumia Farouk... ukizingazitia no casualities[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Picha la kihindi limechezwa hapo, ila lengo lake kamili sijalijua. 1. Mganga wa kienyeji CV yake inatakatishwa? 2. Mwenyewe ame-direct hili picha ili kuwaogofya vibaka wasimsumbue tena? Kuna nadharia nyingi tu lakini kitu kilicho wazi ni kuwa mimi siwezi kuchotwa mawazo na hili picha la kihindi...
Hadi ufanye hypothesis test
 
Mwizi anaonekana kabisa ni teja watanzania wanavyoamini ujinga wa atasema jamaa mchawi.
 
Picha la kihindi limechezwa hapo, ila lengo lake kamili sijalijua. 1. Mganga wa kienyeji CV yake inatakatishwa? 2. Mwenyewe ame-direct hili picha ili kuwaogofya vibaka wasimsumbue tena? Kuna nadharia nyingi tu lakini kitu kilicho wazi ni kuwa mimi siwezi kuchotwa mawazo na hili picha la kihindi...
Kumbe tunachezewa Akili hapa. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mbona mwizi kama teja? Itakuwa alikuwa na dozi kali hivyo njaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kwamba alivoingia ndani ya gari akasizi madawa?
 
Back
Top Bottom