Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

we kati ya vilaza fatuma ni wakili mwenye uwezo mkubwa kwa kujenga hoja na kauza jina sna pale Fatuma ni wakili ambae anaweza argue kesi kwa kingereza fruequent hata uk fatuma anaweza kukutetea
Anajua inglishi Kama Tundu eeee
 
Kuna Clip moja haka kamama Kanasema kuwa Yeye ni Mmoja WA Directors
Pia lile Jengo ni lake na IMMMA Ka Rent house,
Kumbe kaliajiriwa pale
Siyo aliajiriwa bwana alikuwa ni mmoja wa wahia wa hiyo kampuni!
 
Back
Top Bottom