All TRUTH
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 5,453
- 2,569
Nazani. Ni mshirika mwenzaKwani alikuwa ameajiriwa au ni partner (ana share)?
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazani. Ni mshirika mwenzaKwani alikuwa ameajiriwa au ni partner (ana share)?
Kipicha tu. Ila bado ni partiner mwanzilishi.Masha si alijitoa baada ya kuteuliwa kuwa waziri na JK?
Sent from my Redmi 6A using JamiiForums mobile app
Majaji wamemfurumusha hata kwenye Roll ya Mawakili, yaani si wakili wa Tanzania, isipokuwa atafanya kazi uingereza na ZanzibarAsanteni Sana kwa Taarifa, huyu anazidi kupata umarufu na hii habari nategemea kuiona TBC, CNN, BBC na Al jazeera.
Ukimpiga chura teke usifikiri kama unamkomowa.
Amesoma huyo hawezi kufa na njaa
Uzuri uwakili wake anabaki nao. Wangemnyanganya kichwa chake hapo ingekuwa habari nyingine. Naona Law Masha anatafuta hata ukuu wa mkoa kwa njia zote.
Labda uzuri wa suraMbona mawakili wa serikali ni wazuri kumzidi Fatma
Ndo maana tunawaambia uvccm akili ziko lumumba hv kwa akili yako wewe huyo fatma hata akifukuzwa kazi anapungukiwa nini Kodi unayolipa ww na Bibi yako ndo inawalisha ukoo wa karume mpaka wafe,unatakiwa umshukuru fatma pamoja na raha anazokula ikulu lkn kaamua kua upande wetu maskini tofauti na matoto ya mkapa,mwinyi,nk
Inaonekana nyie ndio aina ya watu mkiwa na vicent hata vya kurithi utakua kazi yako ni kulala kula kunya na starehe tu hata kama unaujuzi mkubwa kiasi ganiHana kitu yule. Mbona aliamua kuwa wa hiyo firm ?
Duh !we kati ya vilaza fatuma ni wakili mwenye uwezo mkubwa kwa kujenga hoja na kauza jina sna pale Fatuma ni wakili ambae anaweza argue kesi kwa kingereza fruequent hata uk fatuma anaweza kukutetea
Huyu shangazi ni mchacharikaji kweli ktk kutafuta hela ya kuishi, kwenye ukoo wenu ukichanganya akili zenu zote ukizidisha mara 2000 bado huyu mama anawaacha mbali mno! kafanye kazi acha wivu boya wewe!Kuna Clip moja haka kamama Kanasema kuwa Yeye ni Mmoja WA Directors
Pia lile Jengo ni lake na IMMMA Ka Rent house,
Kumbe kaliajiriwa pale
Nakumbuka enzi za Jamboforums JK alilalamikiwa alimpa U-judge jumpa fadhila Riz1 alifanyia practice hapo IMMMA alivyomaliza chuoIMMMA= Ishengoma, Magai, Mujuluzi na Masha.( A for Adavocates ) hawa ndo founders wa hio firm. Na ilianzishwa over 10yrs kabla shangazi hajarud nchini na miaka zaid ya kumi baadae ndo shangazi akakariboshwa baada ya Mujuluzi kutoka kwenda kuwa Judge na Masha nae alichukua sabbatical leave kufanya siasa na baadae kujitoa na kuungana na msando
Inaonekana nyie ndio aina ya watu mkiwa na vicent hata vya kurithi utakua kazi yako ni kulala kula kunya na starehe tu hata kama unaujuzi mkubwa kiasi gani
Inaonekana nyie ndio aina ya watu mkiwa na vicent hata vya kurithi utakua kazi yako ni kulala kula kunya na starehe tu hata kama unaujuzi mkubwa kiasi gani
Asanteni Sana kwa Taarifa, huyu anazidi kupata umarufu na hii habari nategemea kuiona TBC, CNN, BBC na Al jazeera.
ukweli unao ua biashara ya mwajiri?Ukweli umemponza