Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

Asanteni Sana kwa Taarifa, huyu anazidi kupata umarufu na hii habari nategemea kuiona TBC, CNN, BBC na Al jazeera.
Majaji wamemfurumusha hata kwenye Roll ya Mawakili, yaani si wakili wa Tanzania, isipokuwa atafanya kazi uingereza na Zanzibar
 
Masha anaingiaje hapa na wewe ? Kha jamani !
Uzuri uwakili wake anabaki nao. Wangemnyanganya kichwa chake hapo ingekuwa habari nyingine. Naona Law Masha anatafuta hata ukuu wa mkoa kwa njia zote.
 
Hana kitu yule. Mbona aliamua kuwa wa hiyo firm ?
Ndo maana tunawaambia uvccm akili ziko lumumba hv kwa akili yako wewe huyo fatma hata akifukuzwa kazi anapungukiwa nini Kodi unayolipa ww na Bibi yako ndo inawalisha ukoo wa karume mpaka wafe,unatakiwa umshukuru fatma pamoja na raha anazokula ikulu lkn kaamua kua upande wetu maskini tofauti na matoto ya mkapa,mwinyi,nk
 
Hana kitu yule. Mbona aliamua kuwa wa hiyo firm ?
Inaonekana nyie ndio aina ya watu mkiwa na vicent hata vya kurithi utakua kazi yako ni kulala kula kunya na starehe tu hata kama unaujuzi mkubwa kiasi gani
 
IMMMA= Ishengoma, Magai, Mujuluzi na Masha.( A for Adavocates ) hawa ndo founders wa hio firm. Na ilianzishwa over 10yrs kabla shangazi hajarud nchini na miaka zaid ya kumi baadae ndo shangazi akakariboshwa baada ya Mujuluzi kutoka kwenda kuwa Judge na Masha nae alichukua sabbatical leave kufanya siasa na baadae kujitoa na kuungana na msando
 
we kati ya vilaza fatuma ni wakili mwenye uwezo mkubwa kwa kujenga hoja na kauza jina sna pale Fatuma ni wakili ambae anaweza argue kesi kwa kingereza fruequent hata uk fatuma anaweza kukutetea
Duh !
 
Kuna Clip moja haka kamama Kanasema kuwa Yeye ni Mmoja WA Directors
Pia lile Jengo ni lake na IMMMA Ka Rent house,
Kumbe kaliajiriwa pale
Huyu shangazi ni mchacharikaji kweli ktk kutafuta hela ya kuishi, kwenye ukoo wenu ukichanganya akili zenu zote ukizidisha mara 2000 bado huyu mama anawaacha mbali mno! kafanye kazi acha wivu boya wewe!
 
IMMMA= Ishengoma, Magai, Mujuluzi na Masha.( A for Adavocates ) hawa ndo founders wa hio firm. Na ilianzishwa over 10yrs kabla shangazi hajarud nchini na miaka zaid ya kumi baadae ndo shangazi akakariboshwa baada ya Mujuluzi kutoka kwenda kuwa Judge na Masha nae alichukua sabbatical leave kufanya siasa na baadae kujitoa na kuungana na msando
Nakumbuka enzi za Jamboforums JK alilalamikiwa alimpa U-judge jumpa fadhila Riz1 alifanyia practice hapo IMMMA alivyomaliza chuo

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Yile ana stress za kuzeeka bila mme
Inaonekana nyie ndio aina ya watu mkiwa na vicent hata vya kurithi utakua kazi yako ni kulala kula kunya na starehe tu hata kama unaujuzi mkubwa kiasi gani
 
Huyo anastress ya kuzeeka bila mme
Inaonekana nyie ndio aina ya watu mkiwa na vicent hata vya kurithi utakua kazi yako ni kulala kula kunya na starehe tu hata kama unaujuzi mkubwa kiasi gani
 
According to her former employers, the outspoken lawyer Fatuma Karume was reportedly sacked from the law firm for involvement in political activism.

IMMA further claimed that such conduct brought the law firm into disrepute, and adversely affected its business relationship with its clients.

source :The Citizen
 
Hivi tukio la yeye kufukuzwa kisa activism na tupo kwenye uchaguzi (tunatazamwa) siyo ni kiashirio cha hovyo kwa nchi na taasisi mbalimbali?
 
Back
Top Bottom