Kwenye suala la bima Fatma yuko spot on...CDM wawe makini sana kwenye hili tusije tukaanza kuwafananisha na ma CCMKupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?
Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie.
Na mimi namuunga mkono kwenye hili.
Tundu asije tufanyia ujanja wa kuchukua michango ya wananchi na kuzunguka kampuni ya bima kuchukua hela zake.
Tuwe makini na hii michango isiyokuwa na auditing ambayo imeshamiri kwenye chadema.
View attachment 3001416
Haya ni maelezo ya Tundu Lissu mwenyewe?Bima huwa ni mwaka moja tuu, hii gari ya Lissu ilikuwa polisi tangia September 2017kwa hiyo bima ili expire zamani sana na Polisi siyo jukumu lao ku renew
Asante kwa ufafanuziKwenye suala la bima Fatma yuko spot on...CDM wawe makini sana kwenye hili tusije tukaanza kuwafananisha na ma CCM
Kuna ukakasi mwingi sana atoke adharani aseme kuhusu hii sintofahamu. Kukaa kimya wenye akili timamu na uelewa wanabaki na maswali yasiyo majawabu.Bima huwa ni mwaka moja tuu, hii gari ya Lissu ilikuwa polisi tangia September 2017kwa hiyo bima ili expire zamani sana na Polisi siyo jukumu lao ku renew
Kuhusu Bima nionavyo Mimi wangemlipa, like Gari wangechukua na kuliuza au kuliharibu, wakati Lissu alilihitaji kama kumbukumbu.Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?
Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie.
Na mimi namuunga mkono kwenye hili.
Tundu asije tufanyia ujanja wa kuchukua michango ya wananchi na kuzunguka kampuni ya bima kuchukua hela zake.
Tuwe makini na hii michango isiyokuwa na auditing ambayo imeshamiri kwenye chadema.
View attachment 3001416
Unasema uongo bila hata aibu! Fatma amesema wapi kuwa hatachangia mpaka suala la bima litakapowekwa wazi? Yeye amesema ni wajib wake kuchangia.Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?
Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie.
Na mimi namuunga mkono kwenye hili.
Tundu asije tufanyia ujanja wa kuchukua michango ya wananchi na kuzunguka kampuni ya bima kuchukua hela zake.
Tuwe makini na hii michango isiyokuwa na auditing ambayo imeshamiri kwenye chadema.
View attachment 3001416
Kwamba bima itakubali kulipia alafu gari wamuachie Lissu?Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?
Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie.
Na mimi namuunga mkono kwenye hili.
Tundu asije tufanyia ujanja wa kuchukua michango ya wananchi na kuzunguka kampuni ya bima kuchukua hela zake.
Tuwe makini na hii michango isiyokuwa na auditing ambayo imeshamiri kwenye chadema.
View attachment 3001416
Naomba link uliyohoji usafi wa makamu mwenyekiti wa CM ndugu kinana?Sawa, lakini lazima tuhoji usafi wa kila mwanasiasa regardless ni nani
Gari limekaa miaka 7 + polisi bima itoke wapi no renew by police na halikupata ajali as such. waulizwe police km waliongeza muda kutoa ni moyo siyo shuruti wacha wengine wachangie tuKuna ukakasi mwingi sana atoke adharani aseme kuhusu hii sintofahamu. Kukaa kimya wenye akili timamu na uelewa wanabaki na maswali yasiyo majawabu.
Alipwe kwa Insurance Policy cover ipi?Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?
Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie.
Na mimi namuunga mkono kwenye hili.
Tundu asije tufanyia ujanja wa kuchukua michango ya wananchi na kuzunguka kampuni ya bima kuchukua hela zake.
Tuwe makini na hii michango isiyokuwa na auditing ambayo imeshamiri kwenye chadema.
View attachment 3001416
Mtoto wa Kiume kuongea huku unachekacheka hovyo si dalili nzuri, jikazeIla chadema ni mataaira[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa anataka gari la milioni 30 na watu wanamchangia, kwani lissu alikua anafanya kazi gani kabla hajawa mbunge? [emoji1787] yani cdm wakiishika hii nchi kuiongoza mi nahamia guantanamo[emoji1787] na wanachama wanachangia eti ni WAJIB[emoji1787]