Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

Gari lipo kwenye uchunguzi alafu ukalichukuwe polisi hizi akili za wapi
Naona huelewi unachokizungimza, mambo yakiwa clear hata wewe utakuwa unajua unachotetea. Hapa ni kama umefungwa kitambaa cheusi machoni alafu unajaribu kujibu mashambulizi ya ngumi.
 
Siamini kama mwanasheria Fatma anaweza kuyasema haya. Unataka kutuaminisha kuwa Fatma hajui kanuni za bima!!

Bima ina-cover kile kipindi tu ambacho bima yako bado ni hai.
Halafu na wewe uache ututusa

Baada ya Tukio gari imekuwa Polisi muda Wote hivyo Bima inalipa

Swala ni kwamba Gari ilikatiwa Bima gani?

Magari ya Viongozi mengi wanakataga Third party kwa ubahiri tu

Swali la pili, kwa aina ile ya shambulio insurance policy ya Gari inacover?!

Nakubaliana na wewe Mawakili Wengi ni weupe vichwani 😀😀
 
Hakuna aliyelazimishwa kuchangia ingekua ni lazima kuchangia angetoka aweke mambo sawa
Ukitaka usichangie hujalazimishwa
Ndio kuchangia ni hiari ila Lissu ni public figure tunatakiwa tusiwe na mashaka kwenye integrity yake.

Tunapoona kuna dosari na dalili za udanganyifu lazima tumuulize maswali. Hapa tunazungimzia mkosoaji mkubwa wa serikali na presidential candidate wa 2025
 
Ndio kuchangia ni hiari ila Lissu ni public figure tunatakiwa tusiwe na mashaka kwenye integrity yake.

Tunapoona kuna dosari na dalili za udanganyifu lazima tumuulize maswali. Hapa tunazungimzia mkosoaji mkubwa wa serikali na presidential candidate wa 2025
Kama unaona ni udanganyifu usichangie kwani umelazimishwa
 
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?

Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie.

Na mimi namuunga mkono kwenye hili.

Tundu asije tufanyia ujanja wa kuchukua michango ya wananchi na kuzunguka kampuni ya bima kuchukua hela zake.

Tuwe makini na hii michango isiyokuwa na auditing ambayo imeshamiri kwenye chadema.
View attachment 3001416
Wanaofuatilia habari za lisu nao ni vichaa kabisa. Tangu alipobadili msimamo na kuanza kushabikia makampuni ya madini akina bariki anahangaika huku na kule kuomba info ili azitumie kuharibu taswira ya nchi enzi za Dkt Magufuli akishirikiana na akina Dkt Kafumu etc, lisu brainwashed matope
 
Kama unaona ni udanganyifu usichangie kwani umelazimishwa
Ni jukumu letu kukemea na kuhoji wizi na udanganyifu wa kiongozi yoyote wa umma, awe serikalini au upinzani. Lissu anajipa kinga lakini kuna ukakasi kwenye nyendo zake haswa inapokuja michango anayowakamua maskini wenye shida nyingi kuliko yeye. Ana historia ya kupata double double na zote akatafuna.
 
Lissu ana historia ya kuchangiwa pesa za matibabu na wananchi masikini kisha baadae akapewa na serikali na hakurudisha. Akapata pote pote. Amekosa integrity
Amesema hajalipwa pesa yeyote ya matibabu na serikali. Amesema amelipwa sehemu tu ya kiinua mgongo alichostahili kulipwa. Sehemu kubwa ya malipo hayo yalichukuliwa kufidia mkopo aliochukua wa kununulia gari. Pesa aliyopokea haikufika milioni 10. Kwa vile serikali na Bunge hawajakanusha, naamini alisema ukweli. Mambo mengi mnamsingizia ili kumchafua.

Amandla...
 
Back
Top Bottom