Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

Hivi nyie watu hata hizo bima zenyewe hamzijui. Kwenye tukio la kigaidi bima hawalipi. Ugaidi sio ajali.

Pia ni bima gani ingemlipa Lissu kwa gari ambalo lilikuwa polisi? Wangekagua Vipi?

Kama Fatma hataki kuchangia aseme tu. Iła Lissu hajalipwa bima yoyote. Lissu ni mkweli, angelipwa angesema.
 
  • Auto insurance policies will cover a car that is damaged or destroyed in a terrorist attack only if the policyholder has purchased optional comprehensive coverage—which covers damage to your car caused by disasters “other than collisions”.
Insurance zetu zote za magari za TZ ni za Collisions na sio disasters au terrorism. Fatima ni lawyer na anaweza ku confirm hilo.
 
Ni jukumu letu kukemea na kuhoji wizi na udanganyifu wa kiongozi yoyote wa umma, awe serikalini au upinzani. Lissu anajipa kinga lakini kuna ukakasi kwenye nyendo zake haswa inapokuja michango anayowakamua maskini wenye shida nyingi kuliko yeye. Ana historia ya kupata double double na zote akatafuna.
Kama unauthibitisho wa uwizi nenda mahakamani
 
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?

Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie.

Na mimi namuunga mkono kwenye hili.

Tundu asije tufanyia ujanja wa kuchukua michango ya wananchi na kuzunguka kampuni ya bima kuchukua hela zake.

Tuwe makini na hii michango isiyokuwa na auditing ambayo imeshamiri kwenye chadema.
View attachment 3001416
ni mazoea tu na tabia mbaya ya kuombaomba 🐒
 
Kama alivyo ombaomba samia
Fomu ni milion moja ila ameshachangiwa zaidi ya million 100
mazoea mabaya sana kuomba kuchangiwa🐒

inabidi utengeneze imotional script, ili uonewe huruma watu wavutike kukuchangia 🤣

lakini hata hivyo wengi wamestukia haka katabia , ikiwa ni pamoja na fatma 🐒
 
Kwenye suala la bima Fatma yuko spot on...CDM wawe makini sana kwenye hili tusije tukaanza kuwafananisha na ma CCM
Kumbuka sio Chadema walioomba mchango kwa ajili ya kumnunulia Lissu gari,Bali wananchi hususan wana Chadema ndio walisema hii iliyoshambuliwa ikawekwe makumbusho na Mh Lissu anunuliwe gari nyingine ya kufanyia kazi kwa michango ambayo wananchi wenyewe wameomba kuchangia.
 
Mazoe mabaya ya samia kuomba mchango wa sh million 1
🤣 Mtu alichangiwa matibabu, akachangiwa hela ya kula na diaspora, akalipo mamilioni ya mishahara yake na marupurupu, lakini bado tu anaomba achangiwe 🤣

hii tabia kama sio mazoea itakua ni ya kurithi. Hata hivyo wanao elewa wamemstukia vizuri sana 🐒
 
Ila chadema ni mataaira🤣🤣🤣 sasa anataka gari la milioni 30 na watu wanamchangia, kwani lissu alikua anafanya kazi gani kabla hajawa mbunge? 🤣 yani cdm wakiishika hii nchi kuiongoza mi nahamia guantanamo🤣 na wanachama wanachangia eti ni WAJIB🤣
Yaweza kuwa huko Guantanamo kuna Basha wako umemmiss
 
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?

Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie.

Na mimi namuunga mkono kwenye hili.

Tundu asije tufanyia ujanja wa kuchukua michango ya wananchi na kuzunguka kampuni ya bima kuchukua hela zake.

Tuwe makini na hii michango isiyokuwa na auditing ambayo imeshamiri kwenye chadema.
View attachment 3001416
Siwezi kuamini kuwa Fatuma hajui kuwa bima wanalipa baada ya ripoti ya polisi kuhusu ajali au tukio, polisi wamegoma kupeleleza tukio la kushambuliwa Lissu, sasa Lissu ataanzaje kudai bila ripoti ya polisi?
 
Back
Top Bottom