econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Najua unatania. Lissu hakuwahi kuomba kuchangiwa usimlishe maneno.Tundu Lisu amezidi sana aise dah....
kuomba omba kuchangiwa pesa ni tabia mbaya sana![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua unatania. Lissu hakuwahi kuomba kuchangiwa usimlishe maneno.Tundu Lisu amezidi sana aise dah....
kuomba omba kuchangiwa pesa ni tabia mbaya sana![]()
mwambieni Lisu aache tabia hii ya fedheha na aibu banaNani kamlazimsha?. Mchango wa hiari, yeye tu na mihemko yake.

Wananchi wenyewe wameamua kumchangia Lissu kwa hiyari yao kama vile walimu wanavyomchangia chifu Hangaya fomu ya urais. Wewe kinachokuuma ni nini?Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?
Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia ujanja wa kuchukua michango ya wananchi na kuzunguka kampuni ya bima kuchukua hela zake.
Tuwe makini na hii michango isiyokuwa na auditing ambayo imeshamiri kwenye chadema.
hii ya kijitokeza mara kwa mara unatengeneza mazingira ya kuonewa huruma ili uchangiwe halafu watu wanagoma kukuchangia ni aibu kubwa zaidiKama Samiah anavyochangiwa pesa za fomu. Ombaomba Sana yule mama.

Bima unatakiwa kuomba ndani ya mwaka tangu kutokea kwa janga. Lile gari limekaa polisi miaka 7 sasa. Ingawa pia ukweli hauondoki kwamba Lissu mwenyewe hajashindwa kununua gari na pia CHADEMA hawezi kushindwa kununua gari la Makamu Mwenyekiti. Kinachoendelea kuhusu ununuzi wa gari la Lissu ni siasa.Kwenye suala la bima Fatma yuko spot on...CDM wawe makini sana kwenye hili tusije tukaanza kuwafananisha na ma CCM
Sasa hapa mbona umeandika utoko mtupu mkuu? Unajua sheria za bima kweli au unakuja hapa kupanua domo kama kinda la ndege ambalo hupanua domo hata upepo unapotikisa kiota likidhani ni mama amerudi kuliletea chakula?1. Bima wakisema watampa Lissu gari mpya, utaratibu gani utatumika kumuwezesha Lissu abakie ya gari awali iliyopigwa risasi?
2. Bima wakiamua gari ikatengenezwe, baada ya matengenezo nini kitakwenda ktk makumbusho? Au milango yenye matobo ya risasi ndio itakwenda makumbusho?
3. Bima wakitengeneza gari, na Lissu akaamua kuitumia kwanza kabla ya kupeleka makumbusho, gari ikipata ajali si tutakuwa tumepoteza kumbukumbu ya kupeleka ktk makumbusho?
4. Kuna maswali yanayohitaji majibu kabla ya kuamua kudai Bima ya gari ya Lissu.
Cc Nguruvi3, Erythrocyte
natania?Najua unatania. Lissu hakuwahi kuomba kuchangiwa usimlishe maneno.

Kwani kuna mwanasiasa msafi 🤔Sawa, lakini lazima tuhoji usafi wa kila mwanasiasa regardless ni nani
Bima huwa ni mwaka moja tuu, hii gari ya Lissu ilikuwa polisi tangia September 2017kwa hiyo bima ili expire zamani sana na Polisi siyo jukumu lao ku renew
BIMA wanamtazama Tundu Lissu na gari kama Mteja, taratibu zote zitafuata kanuni na sheria zinazomhusu Mteja1. Bima wakisema watampa Lissu gari mpya, utaratibu gani utatumika kumuwezesha Lissu abakie ya gari awali iliyopigwa risasi?
2. Bima wakiamua gari ikatengenezwe, baada ya matengenezo nini kitakwenda ktk makumbusho? Au milango yenye matobo ya risasi ndio itakwenda makumbusho?
3. Bima wakitengeneza gari, na Lissu akaamua kuitumia kwanza kabla ya kupeleka makumbusho, gari ikipata ajali si tutakuwa tumepoteza kumbukumbu ya kupeleka ktk makumbusho?
4. Kuna maswali yanayohitaji majibu kabla ya kuamua kudai Bima ya gari ya Lissu.
Cc Nguruvi3, Erythrocyte
Unavyoona wewe pale anafaa kuwa rais, nani waziri, hakuna kituUtahakikishaje wakati umekufa. Hakuna aijuawe kesho. Tuishi kwa nidhamu.
Mtajinyonga nyinyi🤣 sijawahi kuona watu wana changa ela za mtu anaejiweza eti anunue gari alafu wanakuja kuifokea serikali kwanini maisha magumu🤣Ilifaa ujinyonge na sio kwenda Guantanamo.
Uwezo wa kulipwa na akabaki na gari upo. Angetaka, kwani likipelekwa kwenye bima kule huwa wanayachoma moto?Shida watu mmerukia gari njiani. Utaliowaje bima huku una gari mkononi?. Bima inalipwa ukarababti gari au gari lirejeshwe bima uplkabidhiwe jipya. Sasa Lissu anataka abaki na gari Kama lilivyo iwe kumbukumbu.
Sasa hapa mbona umeandika utoko mtupu mkuu? Unajua sheria za bima kweli au unakuja hapa kupanua domo kama kinda la ndege ambalo hupanua domo hata upepo unapotikisa kiota likidhani ni mama amerudi kuliletea chakula?
ninyi ni mandondocha wa sheria.Kwenye suala la bima Fatma yuko spot on...CDM wawe makini sana kwenye hili tusije tukaanza kuwafananisha na ma CCM
Not coveredVandalism
Comprehensive insurance inaweza ku-cover vandalism kama mchangiaji mmoja alivyochangia. Ila insurance claim bila police report ni mtihani.Afadhali mkuu ebu tupe ABC
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?
Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia ujanja wa kuchukua michango ya wananchi na kuzunguka kampuni ya bima kuchukua hela zake.
Tuwe makini na hii michango isiyokuwa na auditing ambayo imeshamiri kwenye chadema.
Lissu aache siasa chafu,umaarufu alionao unatumiwa na wale wachagga waliojazana pale chademaLissu atoke aweke mambo clear asitumie upepo wa huruma ya risasi 37 kugeuza raia mtaji. Kuna vitu vinatia mashaka integrity yake.