Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

Wananchi wenyewe wameamua kumchangia Lissu kwa hiyari yao kama vile walimu wanavyomchangia chifu Hangaya fomu ya urais. Wewe kinachokuuma ni nini?

Mbona unakuwa na kimuhemuhe kama mwanamke mwenye mimba changa? Lamba ndimu utapona.
Kwa hiyo Lissu ni mpigaji kama CCM?
 
Huo mchango wake ni shs ngapi kwani!? Kama vipi asichange!
 
Ukiwa unapenda kuongeaongea kuna wakati utalopoka utumbo

Kuna kipengele kwenye bima za bongo kitakufidia ikiwa gari lako liliharibiwa katika jaribio la kutakata kukua kwa risasi?
Nauhakika pia hata sijui kama bima za bongo zinafidia vandalism (uharibu wa makusudi)
 
Shangazi ni mwelewa sana wa haya mambo. Kwa wenye IQ za kutosha masharti ya kulipwa bima chombo kikiharibika yanajulikana. Ajali haikufanyiwa tathmini na polisi. mwenye gari hajawahi kuhojiwa jinsi ajali ilivyotokea. Hakuna ripoti au hukumu ya mahakama! sasa bima watalipaje?
Lisu alisema gari itawekwa makumbusho, wasamaria wema wakaamua kumchangia anunue gari lakini michango yenyewe ni moja ya sera ya kuonyesha wananchi wanamthamini kiasi gani!!!!!
 
Back
Top Bottom