Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

sometimes Tundu lisu utafikiri huwa anatumwa kuzima issues, amekuja na mchango wa gari, issue ya Tanganyika yetu imepotea hata hatujui imeenda wapi.
Na hiyo issue ya Tanganyika aliongea yeye Lissu pekee yake na kuandaliwa press conference na Mzee kinana, kipindi hicho wewe ukiwa umejificha JF na ID ya uongo. punguza unafiki wa kutafuta mambo yasiyo na maana.
 
Lissu atoke aweke mambo clear asitumie upepo wa huruma ya risasi 37 kugeuza raia mtaji. Kuna vitu vinatia mashaka integrity yake.
Waalimu wanalimwa michango ya mwenge hujawahi kukosoa, ila wananchi kwa hiari yao bila kusukumwa wameamua kumchangia Lissu gari, ndio umeona ushikilie Bango huku ukijua ukweli kuwa Bima hawawezi kufanya refund wakati Mali unayo kwako.
 
Ndio kuchangia ni hiari ila Lissu ni public figure tunatakiwa tusiwe na mashaka kwenye integrity yake.

Tunapoona kuna dosari na dalili za udanganyifu lazima tumuulize maswali. Hapa tunazungimzia mkosoaji mkubwa wa serikali na presidential candidate wa 2025
Sio dosari, ni roho mbaya yako kuona wananchi wanaomchangia ni wengi. Kuanzia buku tu. Kaa na roho yako ya kwanini.
 
Ni jukumu letu kukemea na kuhoji wizi na udanganyifu wa kiongozi yoyote wa umma, awe serikalini au upinzani. Lissu anajipa kinga lakini kuna ukakasi kwenye nyendo zake haswa inapokuja michango anayowakamua maskini wenye shida nyingi kuliko yeye. Ana historia ya kupata double double na zote akatafuna.
Ungeaza kukemea wezi kwenye ripoti ya CAG mnafiki mkubwa wewe. Una roho ya kichawi. Eti wizi, nani kakuibia. Wananchi wameleta wazo Lissu abaki na gari Kama ukumbusho, wakaamua kumchangia gari jipya. Wewe unakuja hapa na uchungu wako kuuliza maswali ya kijinga.
 
Wanaofuatilia habari za lisu nao ni vichaa kabisa. Tangu alipobadili msimamo na kuanza kushabikia makampuni ya madini akina bariki anahangaika huku na kule kuomba info ili azitumie kuharibu taswira ya nchi enzi za Dkt Magufuli akishirikiana na akina Dkt Kafumu etc, lisu brainwashed matope
Mbona na wewe upo hapa?. Ina maana inamfuatilia Lissu.
 
Ni kweli kuchangia siyo lazima, lakini usisahau kuwa Tundu Lisu ni mwanasiasa, kila kinachofanywa na mwanasiasa ni hoja.
Maana kuna siku mwanasiasa aweza kuwa kiongozi wa jamii.
Aje hadharani ajibu, ndiyo siasa.
Ajibu Nini?. Msingi wa michango ni kwamba gari libaki mikononi mwa Lissu.
 
Bima huwa ni mwaka moja tuu, hii gari ya Lissu ilikuwa polisi tangia September 2017kwa hiyo bima ili expire zamani sana na Polisi siyo jukumu lao ku renew
Hapana ! Taratibu za Bima zipo wazi. BIMA inalipwa siku ya tukio ikiwa gari lilikuwa nayo.
Kukaa Polisi ni kitu tofauti. Hoja muhimu ni kwaba siku ya tukio gari lilikuwa na Bima? Kama ni Yes, BIMA inapaswa ilipe
 
Back
Top Bottom