Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

Gari limekaa miaka 7 + polisi bima itoke wapi no renew by police na halikupata ajali as such. waulizwe police km waliongeza muda kutoa ni moyo siyo shuruti wacha wengine wachangie tu
Limepata ajali ya kuharibiwa na risasi ila polisi wamegoma kutoa ripoti ya shambulio hilo, sasa ataanzaje kudai bima.
 
Kuhusu Bima nionavyo Mimi wangemlipa, like Gari wangechukua na kuliuza au kuliharibu, wakati Lissu alilihitaji kama kumbukumbu.
Kwa kawaida Bima wakikulipa pia owner hupewa first priority kulinunua...au wanaweza kukwambia ulipereke kwenye garage Yao likakarabatiwe..(which is most likely kitu kitakachotokea) na kama unakumbuka complain ya Number plate...hiyo inaweza kumpa fursa ya kuli- pimp na kuweka namba mpya, na pesa itakayochangwa ikafanya mambo mengine muhimu...so 3 birds by 1 stone...same car but newer(pimped) , cash from insurance and donations.
 
Ila chadema ni mataaira🤣🤣🤣 sasa anataka gari la milioni 30 na watu wanamchangia, kwani lissu alikua anafanya kazi gani kabla hajawa mbunge? 🤣 yani cdm wakiishika hii nchi kuiongoza mi nahamia guantanamo🤣 na wanachama wanachangia eti ni WAJIB🤣
Shida watu mmerukia gari njiani. Utaliowaje bima huku una gari mkononi?. Bima inalipwa ukarababti gari au gari lirejeshwe bima uplkabidhiwe jipya. Sasa Lissu anataka abaki na gari Kama lilivyo iwe kumbukumbu.
 
ndiyo mjue kwamba mnadanganywa mengi sana, wameshalewa power walio nayo juu yenu na wameonyesha haina ukomo lkn pia hakuna aliyelazimishwa kumchangia bilionea ni uamuzi wenu …
Wabongo bwana. Wakati polisi wanamkataza Lissu asichukue gari 2020 mlikuwa wapi?. Leo ndio mmeamka na ngonjera.
 
Ila chadema ni mataaira🤣🤣🤣 sasa anataka gari la milioni 30 na watu wanamchangia, kwani lissu alikua anafanya kazi gani kabla hajawa mbunge? 🤣 yani cdm wakiishika hii nchi kuiongoza mi nahamia guantanamo🤣 na wanachama wanachangia eti ni WAJIB🤣
Ilifaa ujinyonge na sio kwenda Guantanamo.
 
Tundu Lissu ameomba huruma kwa wananchi wamchangie ili apate gari lingine, alivyo mjanja sasa alikaa na Maria sarungi ambaye hana shughuli za kufanya wakatengeneza dili LA kupiga hela,kwamba maria aanzishe mchango na Kisha atakula 10%, kimsingi gari la lissu lilikuwa na bima na lissu ni lawyer na anajua madhara yakuendesha gari bila bima, ss inakuwaje unaomba uchangiwe hela ukanunue gari wakati gari ilikuwa na insurance, halafu tang uanzishe harakati hizo na kimada wako kwanin chama chako kimekaa kimya hakiungi mkono jambo hilo? Unajifanya mwadilifu kumbe mwizi tu kama walivyo wezi wenzio.
Ila wabongo mmezidi ujinga. Yani suala la bima linawapiga chenga. Lissu kapigwa risasi 2017 gari limetoka polisi 2024. Hiyo bima inatoka wapi?. Pia lengo la kumchangia Lissu abaki na gari Kama kumbukumbu.
 
Ndiyo maana nimesema inabidi ifafanuliwe...si kila mtu anauelewa kama wako mkuu. CCM wanafeli mara nyingi kutoa clarifications kwenye mambo mengi mpaka inapotokea taharuki ndiyo wanajitokeza kufafanua....vitu vidogo kama hivi vikitumiwa vizuri na ccm michango itapungua sanaa
Michango itapungua kwa lipi?. Ni wananchi wameamua kumchangia Lissu, kelele zimekuwa nyingi. Kama huchangii Kaa kimya.
 
Ndiyo maana nimesema inabidi ifafanuliwe...si kila mtu anauelewa kama wako mkuu. CCM wanafeli mara nyingi kutoa clarifications kwenye mambo mengi mpaka inapotokea taharuki ndiyo wanajitokeza kufafanua....vitu vidogo kama hivi vikitumiwa vizuri na ccm michango itapungua sanaa
Wananchi wameamua kumchangia Lissu kwa hiari, Sasa ufafanuzi wa Nini. Ni shuruti kuchangia. Kama hujachangia unatulia wengine wenye hiari wachangie.
 
sometimes Tundu lisu utafikiri huwa anatumwa kuzima issues, amekuja na mchango wa gari, issue ya Tanganyika yetu imepotea hata hatujui imeenda wapi.
 
Lissu ana historia ya kuchangiwa pesa za matibabu na wananchi masikini kisha baadae akapewa na serikali na hakurudisha. Akapata pote pote. Amekosa integrity
Dah! Ila wewe jamaa una roho mbaya Sana. Proj J alichangjwa na wananchi Tena kwa harambee leaders club ila Serikali ya Samiah ikajitolea kumlipia gharama zote za hospitali. Ulitaka Prof j awarudishie pesa wote waliomchangia akiwa hoi hospitalini?. Uwe na ubinadamu beyond siasa.
 
Gari kukaa miaka 7 polisi sio ishu. Bima walishapewa taarifa wakati wa tukio, hujui ilo?
Unatakiwa kufile claim ndani ya miezi SITA. Na claim iwe kwenye insurable interest ajali au moto etc. ungetuambia insurable interest ilikuwa Nini , maana probably ni ajali.
 
Back
Top Bottom