Shangazi ni mwelewa sana wa haya mambo. Kwa wenye IQ za kutosha masharti ya kulipwa bima chombo kikiharibika yanajulikana. Ajali haikufanyiwa tathmini na polisi. mwenye gari hajawahi kuhojiwa jinsi ajali ilivyotokea. Hakuna ripoti au hukumu ya mahakama! sasa bima watalipaje?
Lisu alisema gari itawekwa makumbusho, wasamaria wema wakaamua kumchangia anunue gari lakini michango yenyewe ni moja ya sera ya kuonyesha wananchi wanamthamini kiasi gani!!!!!