Fatma Karume atoa ya moyoni kuhusu aliekuwa Mume wake

Ndoa kusimama ni jitihada za wote wawili, mkishindwana basi muachane kwa amani na sio kwa kusimangana au vita maana ni wote wawili mmeshindwa kuitunza ndoa yenu
 
Unaona umeandika kitu cha maana sana
 
Akili ya vijana wa Dar
 
Huyo mme wake ukimwambia achague sabuni au kirudiana nae ataona bora sabauni.

Kwa kifupi huyo Mfeminist kamkumbuka mmewe na mwana naona kaachana nae kakata mawasiliano yote.
 
Watu kama nyie mpo tayari kuutoa sadaka uanaume wenu kisa kuoa mtoto wa rais
 

Huo ndio ujeuri na efeminist wenyewe sasa... mwanaume kuzaa nje tangu lini ikawa shida 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…