Fatma Karume atuma salamu kwa CHADEMA: "Nawasubiri na udini na ukabila wenu"

Mnapenda Sana kuandika mambo ya chuki migogoro. Ccm vs CDM

Hayo mambo alikuf nayo magufuli ,
Ccm waojitambua hawataki hizo siasa za chuki
 
Rais Samia ana akili nyingi sana; mpaka kufika 2025 hakuna kundi hata moja litakalompinga na wala hatumii nguvu, anatumia akili.

Mungu ametubariki watanzania kwa kutuletea Rais anayeipenda Tanzania kwa moyo wake wote
 
Wengine ni wanaccm na wanafanya hivyo kwa lengo ulilotaja
 
Wapi pametajwa Bavicha?. Mna roho ya ugomvi sana.
Mzee John ni mchochezi sana. Halafu watu aina hii ndiyo Wanataka wahesabike wenye busara kwenye jamii!!!!!! Mungu tusaidie....
 
Comrade Abdulrahman Omar Kinana ana shahada ya Masuala ya Siasa na Propaganda toka chuo bora zaid Duniani Chenye uzoefu wa zaid ya miaka 500 …Havard

pia ana uzoefu wa miaka zaid ya 45 kwny Siasa za nchi hii
tangu 1977 yupo kwny Siasa kwa nafasi za utendaji

1978 aliingia kwny Kamati kuu ya UV CCM na tangu hapo hajatoka kwmy siasa isipokuwa kwa miaka miwili tu alipokosana na JPM

Rais Samia ana akili nyingi sana; mpaka kufika 2025 hakuna kundi hata moja litakalompinga na wala hatumii nguvu, anatumia akili.

Mungu ametubariki watanzania kwa kutuletea Rais anayeipenda Tanzania kwa moyo wake wote
 
Hivi ni rais gani ambaye hakuwahi kusemwa vibaya? JPM huyu huyu si hadi leo ni marehemu lakini mnamsema kwa mabaya mpaka sasa? Mkisemwa ninyi mnakimbilia udini eti mnaonewa, usitake watu waseme huenda mnawapoteza ninyi ili mkae mkilamba sukari, nani kajitambulisha kuwa ni mkatoliki na ndo kinara kuwashambulia waislamu kama siyo uchonganishi. Enzi za JPM waliongea watanzania na sasa wanaongea watanzania acha kuharibu dini za watu.
 
Kusema na chokochoko ni vitu viwili tofauti
 
Ila tuseme ukweli, Fatma Karume, ana lugha chafu mno, mchafu sana huyu wa tabia, hana uanawake wa utanzania ndani yake, she is not attractive kwa kila kitu. Huyu ni kinyonga, hata sisi CCM sio mtu wa kukaa nae chamani kabisa huyu, unpredictable and untrusted..!! Ukiwapa madaraka watu type hii, expect unexpected atakachofanya.
 
Fatma atueleze kwanza hali ya Zanzibar na hasa wakati wa utawala wa babu yake. Mtu aliyesifika hata kwa ngono zembe.
 
Shangazi kama US hana rafiki wa kudumu
 
Kuna sehemu ameandika CHADEMA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…