Kwanini unasema Tanzania corona haijachanganya?Chanjo yenyewe ni maambukizi yaliyo control, so baada ya hapo hata ukipata maambukizi ambayo hayatojionesha, ambayo ndiyo majority, that is irrelevant.
Kwenye vifo kuwaelimisha, ukiwa na tabia ya kuvuka barabara huku umefumba macho, ukasema umevuka mara tatu na hivyo kuvuka hivyo ni salama, huku hujui kwamba umeweza kuvuka kwa bahati tu, hilo halimaanishi kwamba kuvuka barabara huku umefumba macho ni jambo salama.
Tanzania Covid bado haijachanganya, usichukulie kwamba ndiyo imeshafika peak sasa.
Hizi chanjo zina usalama kiasi gani ? Maana Huyu Virus ana tabia ya kumutate na kutengeneza variants tofauti tofauti Kama Variant ya South Africa , Variant ya India , Variant ya Delta ,pengine akatengeneza variant nyingine. Sasa unakuta mtu anapewa chanjo against Variant ya Delta lakini haiwezi kumprotect against Variant ya South Africa . Chanjo iwe hiari na tumuombe Mwenyezi Mungu auondoe huu Ugonjwa .Madereva wengi wa kitanzania wanaamini kuwa pombe haiathiri uendeshaji wake. Wengine wanadai kuwa wakinywa ndio wanakuwa makini zaidi. Lakini sheria inazuia madereva wote kuendesha magari wakiwa wamekunywa kiasi fulani cha pombe hata wale wanaosema kuwa pombe inawafanya madereva bora zaidi. Kinachozuiwa hapa ni uwezekano wa dereva aliye kunywa kusababisha ajali ambayo itaathiri uhai wa watu wengine hata kama yeye atatoka mzima. Ingekuwa ukinywa pombe na kuendesha gari utaathirika peke yako, pengine serikali zingeona hamna haja ya kuingilia uhuru wako wa kunywa pombe.
Chanjo ni hivyo hivyo. Unaweza ukawa hauamini kuwa kuna corona au/na hauogopi kufa kwa corona kitu ambacho ni haki yako. Shida ni uwezekano wa wewe kuwaambukiza wengine na kuwasababisha ama wapoteze maisha yao au waathirike kwa namna nyingine( kiuchumi, kiafya n.k.) baada ya wewe kuwaambukiza. Na mbaya zaidi ni kuwa wengi wao hautawajua. Ndio maana ili kuwaokoa hao utakaowaambukiza, chanjo ni muhimu kuwa ya lazima. Tusipofanya hivyo hatutafikia herd immunity ambapo wote tutakuwa salama.
Amandla...
She said well, chanjo haiwezi kuwa lazima hata WHO walishasema.Mbowe alikose kidogo atizame matamshi yake upya"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume
Kimeumana tayari, , Bado tutaona mengi sana,"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume
Unapolinganisha vitu, jaribu kutafuta vitu vinavyofanana.Madereva wengi wa kitanzania wanaamini kuwa pombe haiathiri uendeshaji wake. Wengine wanadai kuwa wakinywa ndio wanakuwa makini zaidi. Lakini sheria inazuia madereva wote kuendesha magari wakiwa wamekunywa kiasi fulani cha pombe hata wale wanaosema kuwa pombe inawafanya madereva bora zaidi. Kinachozuiwa hapa ni uwezekano wa dereva aliye kunywa kusababisha ajali ambayo itaathiri uhai wa watu wengine hata kama yeye atatoka mzima. Ingekuwa ukinywa pombe na kuendesha gari utaathirika peke yako, pengine serikali zingeona hamna haja ya kuingilia uhuru wako wa kunywa pombe.
Chanjo ni hivyo hivyo. Unaweza ukawa hauamini kuwa kuna corona au/na hauogopi kufa kwa corona kitu ambacho ni haki yako. Shida ni uwezekano wa wewe kuwaambukiza wengine na kuwasababisha ama wapoteze maisha yao au waathirike kwa namna nyingine( kiuchumi, kiafya n.k.) baada ya wewe kuwaambukiza. Na mbaya zaidi ni kuwa wengi wao hautawajua. Ndio maana ili kuwaokoa hao utakaowaambukiza, chanjo ni muhimu kuwa ya lazima. Tusipofanya hivyo hatutafikia herd immunity ambapo wote tutakuwa salama.
Amandla...
Kwa sababu ingechanganya kungekuwa na vifo vingi sana zaidi ya sasa.Kwanini unasema Tanzania corona haijachanganya?
Wakati wewe unaeleza hivyo wengine wanaeleza kwamba huu ugonjwa ni wa kuja na kuondoka kwa maana kuna muda inachanganya halafu inakuja kushuka, na kwamba Tanzania imeshapitia hicho kipindi corona ilichanganya ndio kipindi watu walikuwa wanakufa sana na ikaja kushuka hiyo hali.Kwa sababu ingechanganya kungekuwa na vifo vingi sana zaidi ya sasa.
Kule hospitali za serikali tunalazimishwa kupimwa voltage kisheria imekaaje"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume
Vifo vingi ni kuanzia watu wangapiKwa sababu ingechanganya kungekuwa na vifo vingi sana zaidi ya sasa.
Hakuna contradiction hapo.Hakuna mutual exclusivity.Wakati wewe unaeleza hivyo wengine wanaeleza kwamba huu ugonjwa ni wa kuja na kuondoka kwa maana kuna muda inachanganya halafu inakuja kushuka, na kwamba Tanzania imeshapitia hicho kipindi corona ilichanganya ndio kipindi watu walikuwa wanakufa sana na ikaja kushuka hiyo hali.
Na ndio mnavyozidi kukaa bila kuchanja ndio variants mpya zinavyokitokeza. Hatimae mnaweza kukuta chanjo hazina uwezo wa kukabiliana na variants zitakazojitokeza. Hiyo Delta variant ndio ya India na sasa hivi ndio inafyeka watu sana Uganda. Chanjo zilizopo bado zinatoa kinga lakini hatujui Kama ikitokea variant nyingine kama bado itakuwa effective. Mtaomba sana lakini bila sayansi huu ugonjwa utatufyeka sana. Mimi naamini hapa kweli hizi chanjo zingekuja kwenye kibuyu na angekuwa mtaalam mmoja ndio anazitoa tungepigana vikumbo kuziwahi kama tulivyofanya kwenye kikombe cha babu. Ulokole wetu na imani zetu kwenye mambo ya kitamaduni utatuua.Hizi chanjo zina usalama kiasi gani ? Maana Huyu Virus ana tabia ya kumutate na kutengeneza variants tofauti tofauti Kama Variant ya South Africa , Variant ya India , Variant ya Delta ,pengine akatengeneza variant nyingine. Sasa unakuta mtu anapewa chanjo against Variant ya Delta lakini haiwezi kumprotect against Variant ya South Africa . Chanjo iwe hiari na tumuombe Mwenyezi Mungu auondoe huu Ugonjwa .
Au nimekosea kuelewa, ni kama nimemsikia Mwenyekiti anasema iwe lazimaMnara wa babeli umeanza kuporomoka
Kila MTU ataongea lugha yake
Unajuaje kuwa vifo ni vichache wakina hamna takwimu? Watanzania wengi hawafii hospitali, kitu ambacho kwa vyovyote hakitakuwa reflected kwenye takwimu. Watu wanakufa wakutosha tuu.Kwa sababu ingechanganya kungekuwa na vifo vingi sana zaidi ya sasa.
Kwanza kabisa sijaandika vifo vingi, nimeandika vifo vingi sana.Vifo vingi ni kuanzia watu wangapi
Dalili ipi yenye kuonesha muelekeo wa jumla wa kupanda? ukizingatia huu ugonjwa ni toka mwaka jana na toka kipindi hicho kulikuwa na mitazamo ya kupanda sijui kuchangaya ila hadi sasa tunakaribia kumaliza na huu mwaka.Hakuna contradiction hapo.Hakuna mutual exclusivity.
Inawezekana huu ugonjwa unachanganya na kushuka katika wimbi ambalo kiujumla lina muelekeo wa kupanda.
Yani ni wimbi lenye vilima na mabonde, linapanda na kushuka, lakini, muelekeo wa jumla ni kupanda.
Vifo vya watu wa familia, vifo vya watu maarufu, taarifa za kuhitajika oxygen Mwanza Bugando na KCMC.Dalili ipi yenye kuonesha muelekeo wa jumla wa kupanda? ukizingatia huu ugonjwa ni toka mwaka jana na toka kipindi hicho kulikuwa na mitazamo ya kupanda sijui kuchangaya ila hadi sasa tunakaribia kumaliza na huu mwaka.
Mbowe ana hofu! Anataka kuriwadhika na "kifo cha wengi harusi"! Yeye alishaingizwa chaka akachanjwa"! Na madhara yanaripotiwa kila siku! Anaona asiangamie peke yake!! Nakupa pole "mwamba wa karatasi"Kiukweli Freeman Mbowe amechemka sana ktk hili; nashauri arudi kuomboleza msiba wa kaka yake. Chanjo ya corona haiwez kuwa jambo la lazima. Anayetaka achanje asiyetaja asichanje