Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Siku ambapo watanzania wote watakuwa na mawazo sawa ndio siku ambapo tutajua kweli wote ni mazezeta.Hivi watanzania tuna ufinyu gani wa mawazo mpaka watu wanakuja hapa na kuanza kumuamini huyu mdada na wanaharakati wenzake wasio na faida na taifa letu?
Bora mama Asharose Migire huyu Mimi simuelewagi!Una haki ya kuongea uwezavyo ila Rais halazimiki kutekeleza unachoongea
Happy Friday 💥
Unfortunately the pages have turned. Baba yake hayupo kwenye uongozi. So it's natural kuwa hawezi kulaani mtu ambae hayupo bali lazima ata deal na waliopo.She is older now
She should understand
Na aanze kulaani ya kwao kwanza maybe
Akili ndogo sana.vijana wakiamua kumgeuka igp ni kugusaTatizo polisi wakiamua kufanya kitu hana uwezo wa kuwazuia, mama anatakiwa aweke IGP wake.
SIO KILA MTU ANAWEZA KUONGOZA TAIFA! SHINIKIZO LA KATIBA LILIFANYE AWE RAIS MRITHI! HVYO TUVUMILIE TUU JAMN, ILA NAAMINI NYUMA YA PAZIA
Tanzania ina watanzania na wazanzibari!Mama Samia Suluhu Hassan ni Mtanzania achaneni na huo ubaguzi wa kutuletea u-zanzibar na u-bara
Tatizo lenu mlijua yeye ni rahisi kwenu sasa mnachanganyikiwa kugundua sio rahisi ila ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Mungu akutunze mama yetu, tunakuamini 100💪🙏
Tanzania ina watanzania na wazanzibari!
Hapana wanzanzibari huwa hawajiiti watanzania!!! Mara nyingi watanzania ni sisi wa kutoka bara tu.Tanzania = Tanzania + Zanzibar 😃😃
Ndio unamaanisha hivyo????
Mbona baba yake alikuwa jizi tuu..ebu tuondoleeni upuuzi wenu nyie machotaraaa na kina Maria wenuu..rudini kwenu
Utaifa lazima uwepo.Kama Ni muungano kwanini Kuna nchi ndani ya muungano inaitwa Zanzibar?
Hapana wanzanzibari huwa hawajiiti watanzania!!! Mara nyingi watanzania ni sisi wa kutoka bara tu.
Nimemshutumu Fatuma kwa makosa yaliyofanywa na baba yake, au nimesema aache unafiki wa kujaribu kuaminisha watu kwamba anachofanya Samia ni kigeni kabisa kwa viongozi kutoka Zanzibar?!Mkuu huwezi kumshutumu Fatma kwa makosa yaliyofanywa na baba yake. Hebu tumia akili basi.
Kawape kuku!!Pumba
Wewe mwenye Div.200 na Mbowe nani mashuhuri mnakalia ujinga na kukanyaga katiba. Huyu Mama tayari kashapishana na Ulimwengu.Mungu unajua ni wako ww tu, Mungu ndio anamtenda Mbowe sasa kama hujui ni Mungu huyo.. Mungu anampa funzo Mbowe, na ww follower wa Div 0 mfuate msaidie, miaka 100 jela, pumbaf
Ni ama nawe ni mtu wa visiwani au hujawahi kuishi visiwani lakini hiyo ndo mentality ya watu wa visiwani! Kwamba, watu wa bara ni watu wa hovyo hovyo tu, lakini wao ndio waungwana!Sentensi ya mwisho umevuruga yote uliyoyaandika
Mkuu ni kiongozi yupi wa serikali aliuawa na Mbowe?Mna genge lenu la ugaidi kuua viongozi, imejulikana na mtanyooshwa.