Muda sio mrefu utasikia wamemwachia kwasababu hawana ushahidi hata kidogo wa kiongozi wa serikali aliyeuawa na Mbowe.Mtaimba kila wimbo ila gaidi ni gaidi tu
USSR
Acha uzuzu Samia ni Mzanzibari pure huwezi mtoa huko kwa mapenzi yako binafsi, kwani Mwinyi ni raisi wa wapi? Mbona husemi ni raisi wa Tanzania?Mama Samia Suluhu Hassan ni Mtanzania achaneni na huo ubaguzi wa kutuletea u-zanzibar na u-bara
Tatizo lenu mlijua yeye ni rahisi kwenu sasa mnachanganyikiwa kugundua sio rahisi ila ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Mungu akutunze mama yetu, tunakuamini 100[emoji123][emoji120]
🤣🤣🤣🤣🤣Mimi niliona aibu kwa mara ya kwanza kuwa mwanasheria siku shangazi alipoenda kuargue mahakamani kwa kutumia sheria iliyokuwa imeshafutwa. Yaani sitasahau maishani mwangu 😪😪
Hivi kwa akili yako hiyo hiyo ndogo unadhani kuna kesi ya kweli hapo? Ni ccm imeona imebanwa mbavu kuhusu katiba mpya wakaona ngoja washushe joto kidogo nakwambia soon wanamwachia kwasababu mashtaka yote ni ya kusingizia tu kila mtu anajua isipokuwa wewe.Wote akili zenu kama Mbowe tu, Div 0. Mbowe kajiona mbabe na kuanza kuzunguka nchi nzima kumdharau mh. Rais sbb ameona ni mwanamke kaona hamfanyi kitu, sasa atanyea debe hadi anyooke. Sasa mnapiga makelele mitandaoni, mfuateni msaidieni, nendeni, makamanda feki mmebakia mitandaoni tu, nendeni mkamsaidie. Sasa case yake inakuja kali sana, makamanda feki nendeni, acheni kuongea tu mitandaoni, mnajifunza ugaidi, miaka 100 jela pumbaf
Sheria ipi hiyo na ali argue nini?Weka hapa otherwise hujui unachokisema.Mimi niliona aibu kwa mara ya kwanza kuwa mwanasheria siku shangazi alipoenda kuargue mahakamani kwa kutumia sheria iliyokuwa imeshafutwa. Yaani sitasahau maishani mwangu [emoji25][emoji25]
Cha ajabu matusi hayawasaidii....WANAUFIPA INJE NA MATUSI HAKUNA KINGINE WANAFIKILIA. HIVI HAMUINI AIBU KUITWA KIWANDA CHA MATUSI?? KILA POST ZENU NYINYI NIKUPOST MATUSI TUUU. AU MNAMATATIZO GANI??
Aaaamin aaaaaamin 🙏Mama Samia Suluhu Hassan ni Mtanzania achaneni na huo ubaguzi wa kutuletea u-zanzibar na u-bara
Tatizo lenu mlijua yeye ni rahisi kwenu sasa mnachanganyikiwa kugundua sio rahisi ila ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Mungu akutunze mama yetu, tunakuamini 100💪🙏
Acha uzuzu Samia ni Mzanzibari pure huwezi mtoa huko kwa mapenzi yako binafsi, kwani Mwinyi ni raisi wa wapi? Mbona husemi ni raisi wa Tanzania?
Aaah!! Weeeh!!Mama Samia Suluhu Hassan ni Mtanzania achaneni na huo ubaguzi wa kutuletea u-zanzibar na u-bara
Tatizo lenu mlijua yeye ni rahisi kwenu sasa mnachanganyikiwa kugundua sio rahisi ila ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Mungu akutunze mama yetu, tunakuamini 100[emoji123][emoji120]
Umenitekeleza dada yako lolAaaamin aaaaaamin 🙏
I get your pointMimi kwa mara ya kwanza nimeelewa kwanini shetani (nyoka) alimtumia Hawa kumdanganya Adam.
Je, aliwahi kuona aibu kwa makosa hayo ya babake?Mkuu huwezi kumshutumu Fatma kwa makosa yaliyofanywa na baba yake. Hebu tumia akili basi.
Afungue mashtaka sasa kumshitaki babake!Relate things. Alikuwa na umri gani? Alikuwa na influence gani?
Blessed🙏We are well bro.
Wengine wanapiga kelele wakiwa ubeberuni..... sijui wanafikiri watanzania ni wajinga!? Watasikilizwa na wake zao na watoto zao tuu
Halafu kwanza watuambie huo wembe waliotumia na wanatishia kuutumia tena ni wa aina gani
Blessed🙏
🤣Kwa kinywa kipana kabisa ,Mdude Nyagali aliuongelea huo WEMBE....akasema "waliutumia huko nyuma" na wataendelea nao "kikazi"....
Hakika watueleze ,WEMBE GANI HUO.....
#KaziInaendelea
....kwa sababu ALIMTUMA....Halafu mwenyekiti wake anakaa kimya wqla hamkemei
....kwa sababu ALIMTUMA....
Siku ile mh.Mbowe alitoa sana "povu" la kuhamasisha MAANDALIZI YA UVUNJIFU WA AMANI KUPITIA MAKONGAMANO NA MAANDAMANO......