Kati ya Zanzibar na Tanganyika nani koloni la mwenzake. Zanzibar mTanganyika hauwezi kumiliki ardhi wala leseni yako ya kuendesha gari haitambuliki. Hadi miaka ya 2000 Zanzibar ulikuwa unaenda kwa passport ila wao Wanzanzibar siku zote wanakuja huku wanamiliki ardhi, leseni zao zinakubalika. Wakija huku ni kama wanakuja tu shambaniZanzibar ndo hawajitambui ndo maana tumewafanya ni koloni letu
Mtaendelea kutawaliwa na TanganyikaKakojoe ukalale.
Dogo Rais siyo mtu ni taasisiDuh yaani koloni letu wakati mtawala wa Tanganyika kupitia koti la JMT ni Mzanzibar.WaTanganyika bado tunasafari ndefu.
Kufahamisha makazi yalipo haya nisamehe kwa usalama wa muhusika!Mkuu hapa umekosea tunajikita katika mada ya utaifa ndani ya nchi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣AKa Nako inabidi wakagonge pipe kana nyege sana
Ila wapemba ukiwaita wapemba wanakasirika mno!Wazanzibari always wako proud kuitwa Wazanzibari, sijui kwanini sisi Watanganyika tukiitwa Watanganyika huwa tunakasirika na kuona kama tunabaguliwa?
Wenye akili bila ego tunashauri tuwe na nchi mojaWakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo.
View: https://m.youtube.com/watch?v=upbVqLpdVmk
Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama wazanzibari katika muungano wa nchi mbili kisha inafuata uTanzania.
Lakini viongozi wa kutoka upande wa bara hasa hawa wa CCM na serikali yake wanaona haya na kulazimisha kuufuta utanganyika wa asili raia taifa lao Tanganyika.
Upande wa Zanzibar utambulisho ni Mzanzibari kwanza, halafu mbili kutoka Tanzania.
Hapo ndipo kunapotokea zogo lakini kiuhalisia huwezi kufuta uasili wa kitaifa wa mtu katika Muungano anasisitiza wakili Fatma Karume kwa viongozi wa CCM bara na walio katika serikali yake.
Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni wa nchi mbili Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
Jina la kwanza lilitambulika kama nchi ya Jamhuri za Tanganyika na ya Watu wa Zanzibar April 26, 1964.
Ilichukua miezi kadhaa baada ya muungano jina hilo la kwanza refu hadi kubadilishwa kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi Oktoba 1964
Historia ya nchi ya Tanganyika iliyopata uhuru mwezi December 1961 na nchi ya Zanzibar iliyopata uhuru wake mwaka 1963 mwezi December pamoja na vizazi vya nchi hizo vilivyofuatia haviwezi kufutwa na viongozi wachache wa CCM kwa kuwa utaifa ni asili.
Kinachonishangazi ni serikali ya Zanzibar, ila hakuna serikali ya Tanganyika. Mtikila aliliona hilo ila akatangulia mbele ya haki.Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo.
View: https://m.youtube.com/watch?v=upbVqLpdVmk
Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama wazanzibari katika muungano wa nchi mbili kisha inafuata uTanzania.
Lakini viongozi wa kutoka upande wa bara hasa hawa wa CCM na serikali yake wanaona haya na kulazimisha kuufuta utanganyika wa asili raia taifa lao Tanganyika.
Upande wa Zanzibar utambulisho ni Mzanzibari kwanza, halafu mbili kutoka Tanzania.
Hapo ndipo kunapotokea zogo lakini kiuhalisia huwezi kufuta uasili wa kitaifa wa mtu katika Muungano anasisitiza wakili Fatma Karume kwa viongozi wa CCM bara na walio katika serikali yake.
Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni wa nchi mbili Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
Jina la kwanza lilitambulika kama nchi ya Jamhuri za Tanganyika na ya Watu wa Zanzibar April 26, 1964.
Ilichukua miezi kadhaa baada ya muungano jina hilo la kwanza refu hadi kubadilishwa kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi Oktoba 1964
Historia ya nchi ya Tanganyika iliyopata uhuru mwezi December 1961 na nchi ya Zanzibar iliyopata uhuru wake mwaka 1963 mwezi December pamoja na vizazi vya nchi hizo vilivyofuatia haviwezi kufutwa na viongozi wachache wa CCM kwa kuwa utaifa ni asili.
Maana yake Tanganyika ni giant hivyo ni vitu vidogo sana bro.Kati ya Zanzibar na Tanganyika nani koloni la mwenzake. Zanzibar mTanganyika hauwezi kumiliki ardhi wala leseni yako ya kuendesha gari haitambuliki. Hadi miaka ya 2000 Zanzibar ulikuwa unaenda kwa passport ila wao Wanzanzibar wao wanakuna huku wanamiliki ardhi, leseni zao zinakubalika. Wakija huku ni kama wanakuja tu shambani
Hao moderator ungewambia bila kushoboka kuni-quote ujumbe usingefika!Kuweni na akili timamu basi pale watu tunapotaka kuujua ukweli hapa sio MMU au Chit-chat.
Moderator waonyeni watu kama Hawa niliowa quote hapa. Yaani kuna watu wa hovyo sana humu hata kwenye mijadala yenye afya kwa ustawi wa Taifa letu.
Zanzibar ni cosmopolitan.Mzanzibari mwenye asili ya Malawi.