Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Duanzi kabisa hili. Ni ile mijitu yenye mawazo mgando na inayoishi kwa kujikomba badala ya kufanya kazi kwa bidii.
 
Una akili ndogo sana!! Hapo wapi nimeonesha kushangilia?? Huyo niliyekua namjibu Umesoma tone ya ujumbe wake na nilichomjibu?

Bado hujaleta ushahidi wa wapi nimefurahia kifo au kutekwa kwa watu!!
 
Una akili ndogo sana!! Hapo wapi nimeonesha kushangilia?? Huyo niliyekua namjibu Umesoma tone ya ujumbe wake na nilichomjibu?

Bado hujaleta ushahidi wa wapi nimefurahia kifo au kutekwa kwa watu!!
Kusema lissu angepigwa risasi ungechinja mbuzi inahitaji nielewe nini zaidi ya hiko ulichoandika?
Hapa ulifurahia waliouliwa oct 29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…