Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Mkuu hii habari mbona naitafuta siipati, ni kweli kaliwa huyu jamaa ama uzushi?
Muhusika hajasema kama wamemla au hawajamla ametaka kokote aliko ajitokeze. Means bado yupo sehemu Fulani katulia zake.

Na hawezi kujitokeza kwa Sababu angekuwa wa kujitokeza angekwisha fanya hivyo tangu zamani kwa Sababu amesemwasemwa sana mitandaoni akishitumiwa kwa utekaji
 
Mungu atukumbuke Tanganyika
 
Kusema lissu angepigwa risasi ungechinja mbuzi inahitaji nielewe nini zaidi ya hiko ulichoandika?
Hapa ulifurahia waliouliwa oct 29
View attachment 3546707
Ipo hivi. Hao vi DAMPA vya viongozi wakilamba uteuzi wanasifia. Wakitenguliwa Huwa wanakuja humu wakiwa akili zimewakaa vizuri. Hivyo usihangaike nae
 
Leteni hiyo video, huo utu wa kumuonea huruma Mafwele mmeutoa wapi?

Wekeni hapa tuangalie na sisi tuone amefanyiwa kama ambavyo wengine tungeweza kutaka afanyiwe au wamemtomasa tomasa tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu aina ya Etwege hawafai kabisa kuwa nao ktk chain, ni watu wa frusa wakiikosa hiyo hugeuka mbogo. Yani Leo anafurahia mafwele kuingia 18 za watu wkati miaka kadhaa iliyopita wao ndio waliowaasisi kina mafwele ili wawashughulikie wakosoaji wa jiwe.
Pumbafu kabisa!!!!!
 
Wewe sio mfuatiliaji wa mambo...kwa kifupi mafwele ni mrevi kama walevi wengine...na vijiwe vyake vyote vilikuwa vinajulikana...! Yule jamaa alikuwa mbabe anae weza kujimwamba fai kuwa hakuna wakumfanya lolote...!

Siku hizi vijiwe vyote haonekani🀣🀣🀣 nadhani utakuwa umeelewa sasa...!​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…