FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huyu jamaa Koeman naona kidogo ameanza kubadili tactics za timu.

Kwa jinsi navyomuona, anaamini sana vijana na kuleta mabadiliko ndani ya Barcelona.

Jamaa ingekuwa hiyari hawa akina Pique, Griezzman, Busquets wasingepata namba Barca.

Na mimi namuunga mkono aiseee, tunahutaji timu yenye damu za vijana kuanzia namba 1 mpaka 11.
 
Ansu fati silaha yetu, msimu huu tutakua na magoli mengi ya wapinzani kujifunga..
 
Guess who!!!?
 

Attachments

  • image.jpg
    54.8 KB · Views: 2
kwahyo Barca haijasajili beki ya kati? tumeridhika na babu pique na lenglet 🤔🤔
 
kwahyo Barca haijasajili beki ya kati? tumeridhika na babu pique na lenglet [emoji848][emoji848]
Kwa ufupi ni kua tatizo lililoisumbua timu msimu uliopita halijatatuliwa, ukuta utaendelea kuvuja wakati huo huo safu ya ushambuliaji imepungua makali baada ya kuondoka Suarez.
 
"Miaka 18, na ushaanza kujirusha(dive) kama hivyo?Miaka 18?"

Maneno ya Allan Nyom, beki ya kulia ya GETAFE.
 
Ansufati katisha sana


Yaani dogo katika umri chini ya 18 kashapata namba first 11 tayari tena Barcelona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…