Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Acheni kulia lia mlijua na jana mngebebwa sio? Poyeeeeeeeeeeeeeeeeee
Naona bado hujapoa. Cr7 amewafanya nini vile maana niliona anatoka kwenu na boxer
sijakosea, believe me, msiba ni hapa hapa!
marehemu amefariki ghafla, hata alikuwa hana dalili yoyote ya kuumwa JAPO siku mbili tatu nyuma alionesha kuchemka kidogo,
Nipo hapa kwa ajili ya kutoa fARAJA TU NA SI VINGINE!
Hapa kuna msiba kwani huoni? Tumekuja kutoa salamu za rambi rambi kutoka kwa Ronaldo.
Lazima ajifiche Madrid wamemfanyia kitu kibaya
Vipi Wangu nawe Timu popo km mimi? Haha tushukuru kwa yote siku hazilingani......
Bado unaweweseka na kipigo cha Jana usiku tu. Relax basiBarca simply is the best, Mnao iponda ni mashabiki wa Arsenal Nyie mlishapata vyenu UEFA tulieni,,,, MSN ndio habari ya mjini......
Hatuna presha dhidi ya UEFA, hii ngoma imabaki tena Camp Nou.forca barca forca barca, tarehe 5 wiki ijayo tunaenda kupambana na vibonde wetu athletic Madrid na tutampa kipigo km tulivomkaribisha Mourinho na benitez na kwa Hakika Diego simeone atapatwa presha, kutetemeka na kukojoa golini km alivofanya kocha bora wa miaka yote wa man utd bwana Sir Alex Ferguson. VAMOS BARCA.
Ukiachana na msimu Barca alotolewa na Atletico, mpaka wamekutana mara ngapi na Atletico kashinda Game hata moja?Kwa taarifa yako Atletico Madrid ndo bogey team ya wababe wa Spain. Hom na away sioni mkochomoka, Simeone ni mtaalam wa knock out na Atletico kwa ujumla ni wapambanaji, wakiamua kukukaba mpaka kivuli wanafanya hivyo na mtapoteana tu.
Wapi PNC, natumai unatafuta id nyingine.
Tatizo wewe unahisi mpira ni siasa, na hivi ulivyo kada wa ccm ndo kabisaaaa!!!Nahifadhi hii comment yako! Atletico toka mmeifunga hiyo nje ndani mengi yamebadilika. Wao wanapanda nyie mnashuka.
Huu ndo ukweli, na endapo mtapendelewa mkatusua kwa Atletico, mziki wa Buyern hamuuwezi.
Kukimbia dk 90 na mpira sio gemu yenu.
Alafu ukweli ni kwamba, barca ukimzuia Messi, na Iniesta, timu haiendi. Neymar na Suarez wanacheza endapo mmoja wa messi au iniesta yuko mchezoni au wote!
Kilichofanywa jana na zidane, tegemea mara mbili ya hicho toka kwa Simeone.
Hahahaha sawa mkuu sio mbaya kupoteza baada ya kufanya vizuri mechi 39
ukintajia unashabikia team gani, walau ntakuona wa maana.Mbona na nyie siku zote mna nyodo + mashauzi km mbuzi
Leo mmekalia mmekuwa wapole km jongoo wenye miguu miwili...si bora unyamaze tu
Timu za EPL zina chuki na Messi na Barca, usiwashangae kufurahi namna hii. Wengi wao humu ni Arsenal na Man U, kwa mbaaaaaaali Chelsea.Tumepoteza mechi moja baada ya kufanya vizur since october lakn kelele zinazopigwa humu na mashabiki wa epl utafikir tumeshuka daraja aisee...ngoja tuone bingwa wa laliga atakua nani sasa
Ndugu zangu habari za mida....tushukuru kwa yote tuangalie uefa sasa