BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Forca barca, akifungwa barca inakua habari ya mjini ila vibonde kama arsenal, Chelsea, man utd, real Madrid akifungwa ni kawaida yao. So ongeeni mana Mara ya mwisho kuskia Barcelona kafungwa ilikua mwaka Jana ivo mmeumia siku nyingi sana na donda LA roho ndugu zangu. Eti barca hana plan B kwahiyo mechi zote izo alizoshinda alikua na plan moja pekee, kufungwa kawaida mbona huwezi ukacheza Mpira siku zote usifungwe.
ccsijakosea, believe me, msiba ni hapa hapa!
marehemu amefariki ghafla, hata alikuwa hana dalili yoyote ya kuumwa JAPO siku mbili tatu nyuma alionesha kuchemka kidogo,
Nipo hapa kwa ajili ya kutoa fARAJA TU NA SI VINGINE!
rambirambi ni issue of humanity, ila kwakuwa mnadharau na nyodo tu, MSIBA mwingine haupo mbali!usilete mkuu. huu msiba wa tajiri. we njoo kula pilau na maji ya dukani.
Hahahaha sijawai kua shabiki wa mkopo tangu nianze kuujua mpira....niliipenda barca automaticaly.....ila asante kwa ujumbe wakocc
Danny greeny
Ibrah_ngasa
PNC 1
Linamo
jackline1
cute b
Aleyn
Nawakumbusha tu nyie mashabiki wa mkopo, kuwa nilipita hapa kuangalia namna taratibu na maandalizi ya maziko!
POLENI RAMBIRAMBI SILETI KWA SABABU MLINISHUSHUA KWAHIYO NIMEDHIRADHI!
Hahahaha ulikua hujui...? Hii inaitwa filisika tujue tabia za ndugu zakoHivi kumbe wachawi ni wengi hivi
Naona walioyazoea kwao huko wanafikiri yapo na hukuHahahaha sijawai kua shabiki wa mkopo tangu nianze kuujua mpira....niliipenda barca automaticaly.....ila asante kwa ujumbe wako
Wamesahau kwao Leicester anaongeza gap tu. Mashabiki wa EPL bhanaHahahaha ulikua hujui...? Hii inaitwa filisika tujue tabia za ndugu zako
Ndo uamini kwamba Barca timu kubwa.Hivi kumbe wachawi ni wengi hivi
mkuu mbona bado nakuona humu ili hali ulitoa AHADI KUJITOA mkifungwa na madrid????
Sikuzote siwez acha kutimiza ahad zangu iweke hyo ahadmkuu mbona bado nakuona humu ili hali ulitoa AHADI KUJITOA mkifungwa na madrid????
sarakasi zimeanza, wakati unaahidi ulikuwa mtungi???Sikuzote siwez acha kutimiza ahad zangu iweke hyo ahad
Weka ushahidi [emoji4] [emoji4] tatzo liko wapsarakasi zimeanza, wakati unaahidi ulikuwa mtungi???
Umeambiwa quote hiyo ahadi acha kuongea sana kama MC wa Baikoko.sarakasi zimeanza, wakati unaahidi ulikuwa mtungi???
hehehehe mbona povuu kijana, tulia, relax ushughulikiwee vizuri!Umeambiwa quote hiyo ahadi acha kuongea sana kama MC wa Baikoko.