FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Forca barca, akifungwa barca inakua habari ya mjini ila vibonde kama arsenal, Chelsea, man utd, real Madrid akifungwa ni kawaida yao. So ongeeni mana Mara ya mwisho kuskia Barcelona kafungwa ilikua mwaka Jana ivo mmeumia siku nyingi sana na donda LA roho ndugu zangu. Eti barca hana plan B kwahiyo mechi zote izo alizoshinda alikua na plan moja pekee, kufungwa kawaida mbona huwezi ukacheza Mpira siku zote usifungwe.

😀 Aisee ingetokea baca kashinda mechi ya jana sijui mashabiki wa madrinyo Wangesemaje! Ila kwa sababu wameshinda sasa maneno mengi kweli, the fact is that Barca are still a very good team in the world, it has no rival
 
sijakosea, believe me, msiba ni hapa hapa!

marehemu amefariki ghafla, hata alikuwa hana dalili yoyote ya kuumwa JAPO siku mbili tatu nyuma alionesha kuchemka kidogo,

Nipo hapa kwa ajili ya kutoa fARAJA TU NA SI VINGINE!
cc
Danny greeny
Ibrah_ngasa
PNC 1
Linamo
jackline1
cute b
Aleyn
Nawakumbusha tu nyie mashabiki wa mkopo, kuwa nilipita hapa kuangalia namna taratibu na maandalizi ya maziko!
POLENI RAMBIRAMBI SILETI KWA SABABU MLINISHUSHUA KWAHIYO NIMEDHIRADHI!
 
usilete mkuu. huu msiba wa tajiri. we njoo kula pilau na maji ya dukani.
rambirambi ni issue of humanity, ila kwakuwa mnadharau na nyodo tu, MSIBA mwingine haupo mbali!

Napita tu naelekea mtaa mwingine kupeleka taarifa za msiba pia!
 
15b1c452f83a77fe6c757bf85b9f67f7.jpg
 
Back
Top Bottom