BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Forca barca, akifungwa barca inakua habari ya mjini ila vibonde kama arsenal, Chelsea, man utd, real Madrid akifungwa ni kawaida yao. So ongeeni mana Mara ya mwisho kuskia Barcelona kafungwa ilikua mwaka Jana ivo mmeumia siku nyingi sana na donda LA roho ndugu zangu. Eti barca hana plan B kwahiyo mechi zote izo alizoshinda alikua na plan moja pekee, kufungwa kawaida mbona huwezi ukacheza Mpira siku zote usifungwe.
😀 Aisee ingetokea baca kashinda mechi ya jana sijui mashabiki wa madrinyo Wangesemaje! Ila kwa sababu wameshinda sasa maneno mengi kweli, the fact is that Barca are still a very good team in the world, it has no rival