BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
teh teh teh juu huwa komeo bana!
Kwa wewe mkuu siku ya Arsenal N Barca ulikuwa upande gani? lolMkuu leo uko upande gani? au umeamua kuwa referee? lol
l.o.l na bado.....!!!:dance::dance::dance:fakc pedro
l.o.l na bado.....!!!:dance::dance::dance:
I need a break..will be back shortly!!..
Mhhh! wajitahidi warudishe...na BARCA sasa ndio watashambulia kama nyuki.
Kama niliotea vile.....Man wawaangalie sana Pedro,Villa na Iniesta.......
I need a break..will be back shortly!!..
Mapema sanaa BJ.
mnatakiwa mchangamke, mchezo wenu wakunyata nyata uwanjani mapka mpate goli la kuvizia hawa jamaa watawafanya mbaya.
Baraca unatakiwa umpe presha na wao wachoke lakini mkiendelea kuwatizama wanapigiana pasi ngoma yenu itakuwa ngumu.
Michelle bwana aaah!...honestly speaking, kikosi cha Barca kizuri sana!!..eniwei, still more minutes mamii!!