FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

I need a break..will be back shortly!!..

Mapema sanaa BJ.

mnatakiwa mchangamke, mchezo wenu wakunyata nyata uwanjani mapka mpate goli la kuvizia hawa jamaa watawafanya mbaya.

Baraca unatakiwa umpe presha na wao wachoke lakini mkiendelea kuwatizama wanapigiana pasi ngoma yenu itakuwa ngumu.
 
he he he he he goli limawaamsha usingizini....haya,keep going BARCA.....you can win this!!!:dance::dance::dance:
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ebanae two very good goals.... Enthralling game I must say kwa kweli.
 
Mapema sanaa BJ.

mnatakiwa mchangamke, mchezo wenu wakunyata nyata uwanjani mapka mpate goli la kuvizia hawa jamaa watawafanya mbaya.

Baraca unatakiwa umpe presha na wao wachoke lakini mkiendelea kuwatizama wanapigiana pasi ngoma yenu itakuwa ngumu.

mmh! acha tu AW!..liwalo na liwe, I'm sure kila timu inacheza kutarajia kitu kimoja!!.manure watachangamka sasa, rooney kafanya kweli!!
 
Michelle bwana aaah!...honestly speaking, kikosi cha Barca kizuri sana!!..eniwei, still more minutes mamii!!

Ndo maana naipenda Barcelona,they are the best, i enjoy watching them....naona umefutwa machozi na hili goli....usiende break tena mamii!!!
 
Back
Top Bottom