Hil wakuu mm nililiona mapema...mechi ya leo ilikua n ngum sana kwetuAisee mkuu focus ipo kwa psg...celta anakuja camp nou.. N mech rahis sana kwetu...mech ngum kwa barca n dhid ya deportivo after next saturday
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Mkuu waulze la Liga Mara ya mwisho kubebwa na Madrid n lin...? Madrid kama simba tu kwenye vplTumechukua laliga mara 8 na Madrid mara 2 ndani ya miaka 11 hii sio dominance?we unamjua nani amepanic hadi sasa apunguze gap ya uonevu huu in the past decade?
Bado sana....mech za mwisho hiz ndo ngum zaidREAL MADRID tumeshabeba kombe hilo ......Hala hala Madrid
Ww ndo unaleta ushabk...hebu nenda hyo post kama ya 2wk zilizopita...., nilikubal mapema kabsa kwamba hii itakua ngum kuliko ya psg..No Neymar no penalty. Poor Suarez tried so hard but he couldn't dive better
ngumu kwa waliozoea kubebwa barca.....lakini kwa Madrid ni laini sanaBado sana....mech za mwisho hiz ndo ngum zaid
kwani uongo? barca magoli yao mengi ni penati za kujiangushaWw ndo unaleta ushabk...hebu nenda hyo post kama ya 2wk zilizopita...., nilikubal mapema kabsa kwamba hii itakua ngum kuliko ya psg..
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Duuuh....hiv la Liga n team gan walio ongoza kupewa penalt kat ya barca na Madrid msim huu...? mkuu ucwe haters sana...haisaidii... Barca tuko vizur kwenye football....Sasa cjajua kama unamanisha cc n wabovu tu amakwani uongo? barca magoli yao mengi ni penati za kujiangusha
nafikiri huu ndiyo wanaita ushabiki maandazi.No Neymar no penalty. Poor Suarez tried so hard but he couldn't dive better
sasa ww unahisi nani anaogoza km sio nyie barca au tuletee takwimu hapaDuuuh....hiv la Liga n team gan walio ongoza kupewa penalt kat ya barca na Madrid msim huu...? mkuu ucwe haters sana...haisaidii... Barca tuko vizur kwenye football....Sasa cjajua kama unamanisha cc n wabovu tu ama
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
GUI ni mtu?Mtu mwenyewe Nonda
Mbeleko ilichanika leo.bebweni na nyie[emoji3] [emoji3]
Hujui mpira kaa kimya.Mbeleko ilichanika leo.
Deportivo La Coruna 2-1 Barcelona
Ingawaje PSG walizinajisi mbinu za mpira, Barca bila mbeleko hawakuwa na uwezo wa kuitupa nje ya michuano PSG. Ushahidi ni huu.
SUN, 12 MAR 2017 SPANISH LA LIGA
Deportivo La Coruña 2 - 1 Barcelona
Depo ni timu iliyopo nafasi ya 15 katika msimamo wa La Liga.
Real Madrid pia amepigwa mbeleko leo.
Marcelo alitakiwa kupata Yellow card ya pili kwa kosa kama la mchezaji wa timu pinzani ambaye alipewa 2 yellow cards na kutolewa nje kwa red.
Timu za mbeleko ni shida.
Deportivo vs Barcelona
Score: 2 - 2
Min: 99
[emoji460] [emoji460] Goal!! Eto'o
Assisted by: Abidal
, Basketlona
Madrid match ya 3 mfululizo opponent wao wanapewa red card ya kimaajabu ndio wanashinda kama leo hiikwani uongo? barca magoli yao mengi ni penati za kujiangusha
Madrid match ya 3 mfululizo opponent wao wanapewa red card ya kimaajabu ndio wanashinda kama leo hii
Lucho msengerema yani baada ya kuliweka chezaji lake gomes nje mechi 3 tukapiga goli 17 leo amelianzisha tumepigwa mbili moja