yellow wall
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 648
- 105
Yah, ndio maana nimemshangaa huyo mwana yupo radhi atoe hyo hela kwa Aubemayang kuliko dembele.I mean bado kinda sana kwahiyo anamuda wa kutosha sana kufiti barca laying styles kadiri muda unavyoenda...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dybala kapewa jezi #10 juzidaaaah eti Dembele €150m sasa hazard itakuwa £1b. nafasi ya Neymal kuna wachezaji wengi tu Deufolou, Rafinha, wajitahidi tu wampate inigo na michael serri pamoja dyabala basi maisha yetu yasonge
Hazard ndo suluhshoNi sawa lakini wangejaribu kucheki na wengine pia kama vile:-
1.Yeri Mina
2.Jean Michael Seri
3.Eden Hazard
4.Thomas Lemar
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni nafas wanazocheza hawa wachezaji. Yeri Mina ni beki, nafas ambayo tayar kuna mabeki wengi (CB) Mascherano, Vermaellen, Marlon Santos, Pique, UmtitNi sawa lakini wangejaribu kucheki na wengine pia kama vile:-
1.Yeri Mina
2.Jean Michael Seri
3.Eden Hazard
4.Thomas Lemar
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawaOusmane Dembele ni mchezaj mzuri sana, nilipenda sana aje Barcelona tangu zamani. Yeye ni replica ya Neymar na hana makuu mengi kama alivyokuwa Neymar, umri pia mdogo.
Tatizo lililopo ni nature ya mkataba wake. Dortmund wakimuuza watatakiwa kuipa timu yake ya awali (Marseille) asilimia 25 (robo) ya bei ya mauzo, ndo maana wanataja bei kubwa
BTW Barcelona wawape hiyo €135m, ila waachane na Coutinho, maana naona yeye ni mzuri kuliko Coutinho wala Dybala, atafaa sana akicheza namba moja na Deloufeu
Au cyo!!!Tatizo ni nafas wanazocheza hawa wachezaji. Yeri Mina ni beki, nafas ambayo tayar kuna mabeki wengi (CB) Mascherano, Vermaellen, Marlon Santos, Pique, Umtit
Jean Michael Seri ni kiungo mzur lakin hana profile kubwa na hajaprove kwa michuano mikubwa, na nafas yake tayari ina ushindani mkubwa tayari, Thomas Lemar ni full back, wing na nafas yake tayari ina watu. kumpata Hazard ni sawa na coutinho, almost impossible, bei yake itakua kubwa huku mpira wake ukiwa ni tofauti na style ya FCB
Naona kama timu inahitaji kuweka imani kwa wachezaji wake waliopo. Tatizo ni politics za timu maana Bartomeu asipoleta jina kubwa anajiwekea mazingira magum kwa wanachama, kitu ambacho kinaweza kumuondoa
Ni kweli asee ndio muda wa kuwapa vijana airtime za kutumia zaidi uwanjani...Hahahahahaha Ila wazeee usajili wa msimu huu ni kiboko, PSG kaharibu sana soko la usajili na itabidi Barca tujikite La masia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuwa kero kubwa. Kula siku utasikia deal done, will be presented in a few hours lakini siku zinayoyoma tu. Barca walipe tu hiyo hela ya Dembele tuendelee na mambo mengine.Hahahahahaha Ila wazeee usajili wa msimu huu ni kiboko, PSG kaharibu sana soko la usajili na itabidi Barca tujikite La masia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ww unaamn cout stly yake ya soka inaendana na inieasta..? Kama football unaijua bac utagundua kuwa coutinho styl yakd ya mpira n kama neymar na c mildfield kbsa... He is a big runner uwanjan wakat iniesta n ball dancer with one two in the pitch...Mkuu unafurahisha sana kwa kusema kuwa countinho ni mchezaji wa kawaida kweli tunatofautiana kimutazamo lakini kwako umezidi countinho ambaye akikosekana livepoll inayumba unasema ni wa kawaida,pia angalia countinho anacheza na wachezaji wa kawaida sana pale liverpool bado ana shine.Ukiachana na hilo kwenye kikosi cha brazil ni first eleven angalia brazil inawachezaji wangapi lakini bado yupo first eleven.countinho hadi akaitwa little magician jua anavitu unique vipi ukitua hapo barcelona ambapo atakutana na world class players.barcelona si wajinga kuonyesha jitihada zao zote kwa countinho na kumbuka usajili wa countinho ulikuwepo toka mwaka jana lengo ni kuziba pengo la iniesta hawasajili kutokana na kuondoka kwa neymar
Mkuu dhamb nyingne tutakayofanya n kumuuza rafinhna... Barca acfanye upuuz huo kabsa .... Rafihna ameshaanza kukomaa... So n mda wa kupewa nafac uwanjanInaonekaba dili ta Coutinho imebuma. Wakina Klopp wamesema hawauzi kwa bei yoyote. Inaonekana dili ya Dembele inakaribia kukamilika. Leo hakajaenda tizi na jamaa wanasema anaweza kutangazwa mchezaji wa barca muda wowote. 130m €. Nyingi kishenzi!. Tumchukue Seri na kuuza wakina Arda, Rafinha et al. ila hata tukiamua tuweke pesa zetu kwenye kibubu na kutumia tuliona sita mind. Baada ya kusolve tatizo letu kubwa la RB. Midfield yetu siyo mbaya sana kama Roberto na Alena wakipata nafasi. Na LW baada ya kuja Gerard haitakuwa mbaya.
Thiago Alcantara hauzwi na hatakubali kurudiHuyu dembele kwa mkwanja huo... Daaah hapana aisee.. Japo n mzur na ana vitu ving vya kutu offer kuliko wachezaj wote walio tajwa lakn hyo pesa n ndefu sana... N bora tucsajil kabsa.. Hata hivyo tuna tatzo la viungo wa kat yaan pengo la xav na iniesta... Hizo pesa zngetumika kumnasa thiago alcantara... Then washirikiane na mdogo wake na sergio robert..
Barca tumechanganyikiwa kabsa.. Tuna htaj kusolve tatzo la last year ... Atleast dembele anaweza kaba kidogo lakn coutinho daah n mzigo mwingne kabsa... Viungo wataonekana wabovu sana... Kama mchezaj styl ya coutihno
Sent using Jamii Forums mobile app