FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

daaaah eti Dembele €150m sasa hazard itakuwa £1b. nafasi ya Neymal kuna wachezaji wengi tu Deufolou, Rafinha, wajitahidi tu wampate inigo na michael serri pamoja dyabala basi maisha yetu yasonge
Dybala kapewa jezi #10 juzi
 
Ni sawa lakini wangejaribu kucheki na wengine pia kama vile:-

1.Yeri Mina
2.Jean Michael Seri
3.Eden Hazard
4.Thomas Lemar

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni nafas wanazocheza hawa wachezaji. Yeri Mina ni beki, nafas ambayo tayar kuna mabeki wengi (CB) Mascherano, Vermaellen, Marlon Santos, Pique, Umtit
Jean Michael Seri ni kiungo mzur lakin hana profile kubwa na hajaprove kwa michuano mikubwa, na nafas yake tayari ina ushindani mkubwa tayari, Thomas Lemar ni full back, wing na nafas yake tayari ina watu. kumpata Hazard ni sawa na coutinho, almost impossible, bei yake itakua kubwa huku mpira wake ukiwa ni tofauti na style ya FCB

Naona kama timu inahitaji kuweka imani kwa wachezaji wake waliopo. Tatizo ni politics za timu maana Bartomeu asipoleta jina kubwa anajiwekea mazingira magum kwa wanachama, kitu ambacho kinaweza kumuondoa
 
de42ad9c6111e6984859f055b7f57898.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ousmane Dembele ni mchezaj mzuri sana, nilipenda sana aje Barcelona tangu zamani. Yeye ni replica ya Neymar na hana makuu mengi kama alivyokuwa Neymar, umri pia mdogo.

Tatizo lililopo ni nature ya mkataba wake. Dortmund wakimuuza watatakiwa kuipa timu yake ya awali (Marseille) asilimia 25 (robo) ya bei ya mauzo, ndo maana wanataja bei kubwa

BTW Barcelona wawape hiyo €135m, ila waachane na Coutinho, maana naona yeye ni mzuri kuliko Coutinho wala Dybala, atafaa sana akicheza namba moja na Deloufeu
 
Sawa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni nafas wanazocheza hawa wachezaji. Yeri Mina ni beki, nafas ambayo tayar kuna mabeki wengi (CB) Mascherano, Vermaellen, Marlon Santos, Pique, Umtit
Jean Michael Seri ni kiungo mzur lakin hana profile kubwa na hajaprove kwa michuano mikubwa, na nafas yake tayari ina ushindani mkubwa tayari, Thomas Lemar ni full back, wing na nafas yake tayari ina watu. kumpata Hazard ni sawa na coutinho, almost impossible, bei yake itakua kubwa huku mpira wake ukiwa ni tofauti na style ya FCB

Naona kama timu inahitaji kuweka imani kwa wachezaji wake waliopo. Tatizo ni politics za timu maana Bartomeu asipoleta jina kubwa anajiwekea mazingira magum kwa wanachama, kitu ambacho kinaweza kumuondoa
Au cyo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha Ila wazeee usajili wa msimu huu ni kiboko, PSG kaharibu sana soko la usajili na itabidi Barca tujikite La masia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuwa kero kubwa. Kula siku utasikia deal done, will be presented in a few hours lakini siku zinayoyoma tu. Barca walipe tu hiyo hela ya Dembele tuendelee na mambo mengine.
 
Mkuu unafurahisha sana kwa kusema kuwa countinho ni mchezaji wa kawaida kweli tunatofautiana kimutazamo lakini kwako umezidi countinho ambaye akikosekana livepoll inayumba unasema ni wa kawaida,pia angalia countinho anacheza na wachezaji wa kawaida sana pale liverpool bado ana shine.Ukiachana na hilo kwenye kikosi cha brazil ni first eleven angalia brazil inawachezaji wangapi lakini bado yupo first eleven.countinho hadi akaitwa little magician jua anavitu unique vipi ukitua hapo barcelona ambapo atakutana na world class players.barcelona si wajinga kuonyesha jitihada zao zote kwa countinho na kumbuka usajili wa countinho ulikuwepo toka mwaka jana lengo ni kuziba pengo la iniesta hawasajili kutokana na kuondoka kwa neymar
Na ww unaamn cout stly yake ya soka inaendana na inieasta..? Kama football unaijua bac utagundua kuwa coutinho styl yakd ya mpira n kama neymar na c mildfield kbsa... He is a big runner uwanjan wakat iniesta n ball dancer with one two in the pitch...

Coutinho nmemtzama kwenye game nying sana... Liverpool without mane ndo ilikua inahaingaika kama unakumbuka ..

Narudia tena coutinho n average player sema waingereza n mitambo ya kuotea mbal kwenye kuwapa airtime wachezaj wa EPL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekaba dili ta Coutinho imebuma. Wakina Klopp wamesema hawauzi kwa bei yoyote. Inaonekana dili ya Dembele inakaribia kukamilika. Leo hakajaenda tizi na jamaa wanasema anaweza kutangazwa mchezaji wa barca muda wowote. 130m €. Nyingi kishenzi!. Tumchukue Seri na kuuza wakina Arda, Rafinha et al. ila hata tukiamua tuweke pesa zetu kwenye kibubu na kutumia tuliona sita mind. Baada ya kusolve tatizo letu kubwa la RB. Midfield yetu siyo mbaya sana kama Roberto na Alena wakipata nafasi. Na LW baada ya kuja Gerard haitakuwa mbaya.
Mkuu dhamb nyingne tutakayofanya n kumuuza rafinhna... Barca acfanye upuuz huo kabsa .... Rafihna ameshaanza kukomaa... So n mda wa kupewa nafac uwanjan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dembele kwa mkwanja huo... Daaah hapana aisee.. Japo n mzur na ana vitu ving vya kutu offer kuliko wachezaj wote walio tajwa lakn hyo pesa n ndefu sana... N bora tucsajil kabsa.. Hata hivyo tuna tatzo la viungo wa kat yaan pengo la xav na iniesta... Hizo pesa zngetumika kumnasa thiago alcantara... Then washirikiane na mdogo wake na sergio robert..

Barca tumechanganyikiwa kabsa.. Tuna htaj kusolve tatzo la last year ... Atleast dembele anaweza kaba kidogo lakn coutinho daah n mzigo mwingne kabsa... Viungo wataonekana wabovu sana... Kama mchezaj styl ya coutihno

Thiago Alcantara hauzwi na hatakubali kurudi
 
Back
Top Bottom