Tatizo ni nafas wanazocheza hawa wachezaji. Yeri Mina ni beki, nafas ambayo tayar kuna mabeki wengi (CB) Mascherano, Vermaellen, Marlon Santos, Pique, Umtit
Jean Michael Seri ni kiungo mzur lakin hana profile kubwa na hajaprove kwa michuano mikubwa, na nafas yake tayari ina ushindani mkubwa tayari, Thomas Lemar ni full back, wing na nafas yake tayari ina watu. kumpata Hazard ni sawa na coutinho, almost impossible, bei yake itakua kubwa huku mpira wake ukiwa ni tofauti na style ya FCB
Naona kama timu inahitaji kuweka imani kwa wachezaji wake waliopo. Tatizo ni politics za timu maana Bartomeu asipoleta jina kubwa anajiwekea mazingira magum kwa wanachama, kitu ambacho kinaweza kumuondoa