FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tetesi
Barcelona iko tayari kulipa £132m ili kumsajili kiungo wa kati wa Liverpool Philippe Coutinho, 25, katika dirisha la uhamisho la mwezi Januari. (Sport - via Daily Mail)
 
Tetesi
Kiungo wa kati wa Barcelona na Hispania Sergio Busquets, yupo kwenye rada za Manchster City kwa dau la Paundi milioni 50 na Yaya Toure. (Daily Star)
 
Tetesi
Kiungo wa kati wa Barcelona na Hispania Sergio Busquets, yupo kwenye rada za Manchster City kwa dau la Paundi milioni 50 na Yaya Toure. (Daily Star)
Sergio Busquets is the unsung hero of Camp Nou. He's here to stay.

Kwa mtu asiefahamu mpira vizuri hawezi kuona umuhimu wa Busquets uwanjani.

He's a BEAST!
 
Hawa M-Bet wamenifanya kwa mara ya kwanza kabisa maishani nishabikie Barcadogs (at least kwa kesho)

Nimeweka mkeka wa 100,000/= hapa:
Barca akishinda nakula 1,200,000/= (1.2 Mil)
Madrid akishinda nakula 170,000/= (170k)
Kwakuwa natafuta hela, naombea Barcadogs washinde tu.
 
Mcharo mcharuko
 
unajua utakachofanywa wewe acha kujisalimisha
 
WE ungekuwa mtoto wa kike ungekuwa na toto 10 kila mmoja na baba ake na pengine lile gonjwa lingeshakuondoa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…