Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Rekodi zinaongea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sergio Busquets is the unsung hero of Camp Nou. He's here to stay.Tetesi
Kiungo wa kati wa Barcelona na Hispania Sergio Busquets, yupo kwenye rada za Manchster City kwa dau la Paundi milioni 50 na Yaya Toure. (Daily Star)
Yaani Barca wamchukue Y Toure!!!!!!!!!! wewe vyuma vimekaza unaleta utaniTetesi
Kiungo wa kati wa Barcelona na Hispania Sergio Busquets, yupo kwenye rada za Manchster City kwa dau la Paundi milioni 50 na Yaya Toure. (Daily Star)
Hii nimeikataaTetesi
Kiungo wa kati wa Barcelona na Hispania Sergio Busquets, yupo kwenye rada za Manchster City kwa dau la Paundi milioni 50 na Yaya Toure. (Daily Star)
Hato city wato 500 paund busquets hauzwi kamweTetesi
Kiungo wa kati wa Barcelona na Hispania Sergio Busquets, yupo kwenye rada za Manchster City kwa dau la Paundi milioni 50 na Yaya Toure. (Daily Star)
Akiuzwa huyo nahama barca rasmi naenda madridSergio Busquets is the unsung hero of Camp Nou. He's here to stay.
Kwa mtu asiefahamu mpira vizuri hawezi kuona umuhimu wa Busquets uwanjani.
He's a BEAST!
La Pruga ni free player jinsi ya uchezaji wakeEl Classico napenda sana King La Pulga akitokea chini kwenye kiungo maana anawanyanyasa mno kina Casemiro na ndugu zake kina Modric na Kroos
Mcharo mcharukoHawa M-Bet wamenifanya kwa mara ya kwanza kabisa maishani nishabikie Barcadogs (at least kwa kesho)
Nimeweka mkeka wa 100,000/= hapa:
Barca akishinda nakula 1,200,000/= (1.2 Mil)
Madrid akishinda nakula 170,000/= (170k)
Kwakuwa natafuta hela, naombea Barcadogs washinde tu.
Hiyo haiwezi kutokea hata kidogo ,underrated player Basquets ni engine ya Barca in shortTetesi
Kiungo wa kati wa Barcelona na Hispania Sergio Busquets, yupo kwenye rada za Manchster City kwa dau la Paundi milioni 50 na Yaya Toure. (Daily Star)
Yaya Toure so far ni reject yetu alihama pale Camp Nou hatumtaki hata kumsikiaYaani Barca wamchukue Y Toure!!!!!!!!!! wewe vyuma vimekaza unaleta utani
unajua utakachofanywa wewe acha kujisalimishaHawa M-Bet wamenifanya kwa mara ya kwanza kabisa maishani nishabikie Barcadogs (at least kwa kesho)
Nimeweka mkeka wa 100,000/= hapa:
Barca akishinda nakula 1,200,000/= (1.2 Mil)
Madrid akishinda nakula 170,000/= (170k)
Kwakuwa natafuta hela, naombea Barcadogs washinde tu.
WE ungekuwa mtoto wa kike ungekuwa na toto 10 kila mmoja na baba ake na pengine lile gonjwa lingeshakuondoa dunianiHawa M-Bet wamenifanya kwa mara ya kwanza kabisa maishani nishabikie Barcadogs (at least kwa kesho)