FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Cjawah kumkubal sana coutinho... N mchezaj wa kawaida sana... Yaan huyo hata 45 n nying sana.... Alipaswa awe atleast kwenye 30.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unafurahisha sana kwa kusema kuwa countinho ni mchezaji wa kawaida kweli tunatofautiana kimutazamo lakini kwako umezidi countinho ambaye akikosekana livepoll inayumba unasema ni wa kawaida,pia angalia countinho anacheza na wachezaji wa kawaida sana pale liverpool bado ana shine.Ukiachana na hilo kwenye kikosi cha brazil ni first eleven angalia brazil inawachezaji wangapi lakini bado yupo first eleven.countinho hadi akaitwa little magician jua anavitu unique vipi ukitua hapo barcelona ambapo atakutana na world class players.barcelona si wajinga kuonyesha jitihada zao zote kwa countinho na kumbuka usajili wa countinho ulikuwepo toka mwaka jana lengo ni kuziba pengo la iniesta hawasajili kutokana na kuondoka kwa neymar
 
Dogo ana akili za Kishamba sana, Anajua coutinyo akienda hapo Barca itaendelea kuwa strong zaidi, na ikiwa hivyo maana yake itakula kwake

Msengerema sana yule mtoto sisi kama barca die fans tutamleta tu pale kwa watu ambao wanajua sana duniani....anajiona yeye ndio final say little magician kachomoa kwenda kwa mafara wauza mafuta
 
Cjawah kumkubal sana coutinho... N mchezaj wa kawaida sana... Yaan huyo hata 45 n nying sana.... Alipaswa awe atleast kwenye 30.

Sent using Jamii Forums mobile app

hyo LITTLE MAGICIAN unafikiri kajiitia yeye? tatzo mnataka mpaka mtu awe anafunga magoli cjui 20+,,hyo umeambiwa ni mbadala wa iniesta,,Ma playmaker siyo wazuri kwenye kufunga kama ilivyo Iniesta,Silva,james rodriguez nk
 
Ni bora iwakose wote kuliko kumkosa Coutinho,,ndo maana Neymar anafnya figisu akijua Little magician akisajiliwa,kutakuwa hamna pengo lake,hvyo anataka ajiunge alipo yeye
Barca ni big team-hii Coutinho saga tumeshachoka-too much money is involved na returns kuna question mark.Barca can play a waiting game hadi January and from then on we proceed.
 
daaaah eti Dembele €150m sasa hazard itakuwa £1b. nafasi ya Neymal kuna wachezaji wengi tu Deufolou, Rafinha, wajitahidi tu wampate inigo na michael serri pamoja dyabala basi maisha yetu yasonge
 
daaaah eti Dembele €150m sasa hazard itakuwa £1b. nafasi ya Neymal kuna wachezaji wengi tu Deufolou, Rafinha, wajitahidi tu wampate inigo na michael serri pamoja dyabala basi maisha yetu yasonge
Mwanafunzi wangu tatzo Dyabala akibanwa kidogo anakuwa kma nyoka wa kuchezea ngoma hang'ati kwa seri sina tatzo na ww ila mm namhitaji Ossumane
 
usajili umekua mgum sana misimu ha hivi karibuni kutokanana "inflation" ya bei iliyosababishwa na ligi ya uingereza. vitimu vidogo vinatumia hela nyingi sana kusajili wachezaj wa kawaida. PSG nao wamechangia. Dembele €150m? Coutinho €120m+???? Duuh

Bora Barcelona ibaki na hela, iwaamini wachezaj wake. Left wing weka Gerald Deloufeu, Alcantara hata Denis Suarez. Midfield Deniss Suarez, Sergi Roberto, Carles Alena na Sergi Samper wazuri pia kwaajili ya rotation. Arda Turan anaweza kuuzwa. Munir El Hadad mzuri, abaki kumsaidia Luis Suarez. Andre Gomes na Paco Alcacer wapewe nafas nyingine kutuprove wrong
 
Inaonekaba dili ta Coutinho imebuma. Wakina Klopp wamesema hawauzi kwa bei yoyote. Inaonekana dili ya Dembele inakaribia kukamilika. Leo hakajaenda tizi na jamaa wanasema anaweza kutangazwa mchezaji wa barca muda wowote. 130m €. Nyingi kishenzi!. Tumchukue Seri na kuuza wakina Arda, Rafinha et al. ila hata tukiamua tuweke pesa zetu kwenye kibubu na kutumia tuliona sita mind. Baada ya kusolve tatizo letu kubwa la RB. Midfield yetu siyo mbaya sana kama Roberto na Alena wakipata nafasi. Na LW baada ya kuja Gerard haitakuwa mbaya.
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Mwanafunzi wangu tatzo Dyabala akibanwa kidogo anakuwa kma nyoka wa kuchezea ngoma hang'ati kwa seri sina tatzo na ww ila mm namhitaji Ossumane
Dyabala alikuwa na tatizo hilo alipokuwa juve, kwa Barca wakuchungwa ni wengi sana, hivyo atakuwa anafanya vizuri sana
 
IMG_20170810_182426.jpg

Ila Dortmund wanaweza wakaachia, maana wao wanataka hela nyingi tu, sio kama Liverpool wanaosema hawauzi mchezaji wao
 
usajili umekua mgum sana misimu ha hivi karibuni kutokanana "inflation" ya bei iliyosababishwa na ligi ya uingereza. vitimu vidogo vinatumia hela nyingi sana kusajili wachezaj wa kawaida. PSG nao wamechangia. Dembele €150m? Coutinho €120m+???? Duuh

Bora Barcelona ibaki na hela, iwaamini wachezaj wake. Left wing weka Gerald Deloufeu, Alcantara hata Denis Suarez. Midfield Deniss Suarez, Sergi Roberto, Carles Alena na Sergi Samper wazuri pia kwaajili ya rotation. Arda Turan anaweza kuuzwa. Munir El Hadad mzuri, abaki kumsaidia Luis Suarez. Andre Gomes na Paco Alcacer wapewe nafas nyingine kutuprove wrong
Ni sawa lakini wangejaribu kucheki na wengine pia kama vile:-

1.Yeri Mina
2.Jean Michael Seri
3.Eden Hazard
4.Thomas Lemar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom