usajili umekua mgum sana misimu ha hivi karibuni kutokanana "inflation" ya bei iliyosababishwa na ligi ya uingereza. vitimu vidogo vinatumia hela nyingi sana kusajili wachezaj wa kawaida. PSG nao wamechangia. Dembele €150m? Coutinho €120m+???? Duuh
Bora Barcelona ibaki na hela, iwaamini wachezaj wake. Left wing weka Gerald Deloufeu, Alcantara hata Denis Suarez. Midfield Deniss Suarez, Sergi Roberto, Carles Alena na Sergi Samper wazuri pia kwaajili ya rotation. Arda Turan anaweza kuuzwa. Munir El Hadad mzuri, abaki kumsaidia Luis Suarez. Andre Gomes na Paco Alcacer wapewe nafas nyingine kutuprove wrong