Fedha zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL (Tegeta Escrow account), ni mali ya umma

Na serikali ya UK imezuia pesa za msaada kwa budget support Tanzania, hili nalo unalielezeaje!
Budget support imezuiwa kwa sababu kuna accustions za rushwa na serikali inabidi iielezee bunge.
Nielezee huyu mama balozi anapigania nini? He la za Wananchi au std chartered?
 
Nimeshangaa kuona magazeti na baadhi ya watu wakubwa tu hawataki kufuatilia na kuelewa ukweli. Mgogoro wa TANESCO na IPTL kuhusu capacity chargs uliisha na kutolewa hukumu tokea mwaka 2001. Sasa kuchanganya haya mambo mawili ni kujidanganya. IPTL na TANESO hawana mgogoro. Tunakubali kushabikia suala la kisheria na kitaalam bila kuelewa ukweli. Wengine kazi yao kutukana tu bila kujua undani. Asante sana kaka kwa shule yako, huenda wataelewa.

 
 
Thread nyingine mapepo matupu

Naptamie
 
Jibu kwa hoja siyo matusi

 

Matusi hayasaidii kuubadili ukweli. Fedha ile ni ya IPTL, imeibiwaje wakati imechukuliwa kwa mujibu, kanuni na taratibu zote za mmiliki kuchukua chake? Labda kama una taarifa ngeni, nitafurahi kuzijua.
 
titomganwa kama pesa hizi si za umma na hazina any association why is our poor parliament sweating on it?? Kama sio kupoteza muda wa kujadili mambo ya msingi mengine na Kama viongozi walilijua hilo why did they agree kupotea kwa muda kujadili? Na kwa nini kuna wabunge na watu wa TRA na majaji walipewa hiyo pesa? Anything to do with hongo?
 
Last edited by a moderator:
huyu atakuwa ni kaka yake msalani mpumbavu sana kwa hiyo hizo pesa ni za ccm au?????
 
Kuna watu wana ujasiri wa kuanzisha thread jamani, looooooh!
 
Najua sana hizi ni siasa jaman watanzania kwa kushabikia msiyoyajua tutaangamiaa
 
Tatizo lako umetafuta taarifa nusu ukaact. Kibaya tu ni kwamba ume act ukijifanya mjuaji kumbe mnywanywa tu. Tafuta taarifa kuhusu judgement ya ICID juu ya monthly capacity charges halafu anzia hapo ndo utajua hizi hela ni za nani.
achanen nae n mpumbavu hajui kinachoendelea
 
Matusi hayasaidii kuubadili ukweli. Fedha ile ni ya IPTL, imeibiwaje wakati imechukuliwa kwa mujibu, kanuni na taratibu zote za mmiliki kuchukua chake? Labda kama una taarifa ngeni, nitafurahi kuzijua.
Mkuu...naomba unijulishe hizo pesa zilichukuliwa toka tegeta escrow account kufanya nini???
 
huyu atakuwa ni kaka yake msalani mpumbavu sana kwa hiyo hizo pesa ni za ccm au?????

Mbona unanitukana bila sababu? Laiti ungekuja na taarifa mbadala ningekusamehe, lakini wewe unakurupuka tu na kurusha matusi. !!! Dah! Tanzania niipendayo ina njia ndefu. Sasa kama wewe si mzushi, mpuuzi usiye elimika niambie ni wapi nimesema fedha hizo ni za ccm? Kama wewe si shoga niambie kwa vigezo vipi nafanana na msalani ki hoja, jina au sura. Jikusanye kijana maisha bado hanakusubiri.Kimantiki, fedha za escrow ni mali ya IPTL
 
Hoja ya kwanza ujaweka wazi. Fedha katika account ya ESCROW na umma au za IPTL? Ukijibu hili ndiyo turudi huko nyumaa 2001 kwenye hukumu ya capacity charges kutoka 4.2m na kuwa 2.6m.
Tatizo lako umetafuta taarifa nusu ukaact. Kibaya tu ni kwamba ume act ukijifanya mjuaji kumbe mnywanywa tu. Tafuta taarifa kuhusu judgement ya ICID juu ya monthly capacity charges halafu anzia hapo ndo utajua hizi hela ni za nani.
 
Kuna watu wana hangover hapa...kama sio za umma ni za nani? Hela ya walipa kodi iweje isiwe ya umma? Ndio mnavyodanganyana? Hii sauti ya kisasi itawaandama mpaka makaburini kama hamtaki kujirudi na kutambua makosa yenu.
 
Kaka utaumiza kichwa, kuna watu humu ni vichwa maji hawataki tu kuelewa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…