Fedha zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL (Tegeta Escrow account), ni mali ya umma

huna hoja kalale

 
Mbinu hii ya upotoshaji walijaribu kuitumia kina Werema miaka 2 iliyopita wakashindwa sidhani kama wewe leo utafanikiwa.
 

Wewe unajenga hoja based on what? unaaamka tu na kukimbilia kupost siyo? Wenzako CAG, TAKUKURU na TRA ( full of professionals) wamekuja na ma vulumes ya technical findings halafu wewe unakuja hapa with mere words?
 
Uko shallow sana na issue yenyewe, unajua upande mmoja tu wa shareholders lakini hujui capacity charge ya TANESCO.
 
unaweka akili mfukoni,kwani hujui kesi kati ya Tanesco na iptl?mbona hujazungumzia chochote?Huna faida kuzaliwa TZ
 
titomganwa nadhani hii nchi huijui kabisa, hivyo umekuja kichwa kichwa, lipoti zipo tusubiri bunge lijadili hiyo lipoti ndipo tujue mbivu na mbichi. Mkuu hili sakata lipo juu ya uwezo wako hii si elimu ya a level pale mkwawa
 
Mtu mmoja analipwaje mpaka 1.6bn kwa kazi ipi, na kama IPTL inatengeneza surplus ya namna hiyo nani kanyonywa hapo si mwananchi sio tu kudeal ki hivyo angalia bei ta umee kunufaisha wachache. Yaani umchague mtu alafu akukarie kiasi hicho. Ci unafamu hakuna cha bure ciku hizi sasa mtu atapataje mgao ambao hajui ulikotoka?
 
Sawasawa mkuu.Ili utafiti wako uwe na tija,ebu angazia yafuatayo
1.Kesi ya TANESCO na IPTL
2.Kesi ya Standard chartered na IPTL
3.Mitambo iliyouzwa kwa 6milion
Karibu tena.
 

Mkuu, taarifa yako ilishapita aidha wewe ndiyo umeanza kusikia scandal hizi au ni mshirika wa akina Weremaa, kisa cha bungge kumtaka CAG na PCCB kufanya uchunguzi ilikuwa ni kubaini kama hela hiyo ni mali ya IPTL au umma, ripoti zinasema fedha hiyo ni mali ya Tanesco, na kama ujuavyo Tanesco ni shirika la umma.
 
Kwa hiyo CAG na TAKUKURU walifanya makosa? Some people are extremely funny.
Kweli kabisa. Ni ajabu mtu kutumia muda mwingi kiasi hicho kuandika mambo ambayo chombo kinachoaminiwa cha ukaguzi kimeshafanyia kazi na kuikabidhi. Namshauri asubiri ripoti iletwe bungeni. Taarifa mahakama iliyofanyia kazi ilitokana nadocuments za watu binafsi wenye interest kwenye issue hiyo na haziwezi kuaminika. Ripoti ya cag ndiyo tu inaweza kuaminika na kutumika mahakamani. Tusubiri
 

Bado naendelea kukusanya idadi ya misukule sugu ya magamba nikishamaliza hii kazi ntakuambia we ni msukule namba ngapi!!.
 

Kama haya uyasemayo ni kweli hakuna shida lakini kumbuka serikali inabaki kuwa go between kwa wagombanao na kwa maana hiyo hiyo fedha hiyo ingeingizwa kwenye special au deposit a/c ikisubiri maamuzi ya mahakama kwa utaratibu wa sheria yetu ya fedha, lakini pia iweje tanesco walipe Iptl na iptl waanze kupitisha mgao kwa viongozi kama hawana akili nzuri? kwa mazingira ya kawaida unasemaje ukibaini kuwa mdai wako kamuingizia fedha judge anayesikiliza kesi yenu? au ni ktk hali ya kanyaga twende watoto watajijua wenyewe wakati ukifika!! tafadhali udhalimu mwingine hauvumiliki hata punje, haswa ukizingatia tanesco wanavyo-overprice bill kwetu (users) ili wawalipe IPTL ambao ndani yake kuna hela za viongozi.
 
kujandili escrow unatakiwa uwe mtu kama mwendawazimu kuna watu wanaielezea vizuri sana kuwa hela hizo si za uma lakini wanaosema hela umma hawafafanui utasikia watoke wajiuzuru
 
Mods mbona nime login lakini coments zangu unazikataa.
 
Sasa nataka nikujulishe hatua zote za tenda ili ujue IPTL ni wezi.
 
TITO Mganwa, kwanza nataka ujue taratibu zote za tenda kuanzua kutangazwa, kufunguliwa mpaja kumpata mshindi, uko tayari kupokea elimu au? Maana naweza kutumia muda wangu bure, kumbe unetumwa tu. Lakini kama ulivyosema, ukielimishwa ba kujua zile hela ni zetu wananchi utakubali, sasa nijibu bdio nitoe hiyo elimu.
 
yaani kwa habari ilivyo sijamuelewa, kabisa huyu jamaa. yaani sterling anakufa picha inaanza duu!!!
 
acha kutupotezea muda wa kusoma thread zingine za maana. toa inzi wako hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…