Fedha zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL (Tegeta Escrow account), ni mali ya umma


Issue ni ndogo sana hapa. Mnaojiaminisha kua kesi ESCROW ilitokana na wabia kugombana ndio mnaosema fedha hazikua za umma!!

V/s

Tunaojiaminishia kua ESCROW ilifunguliwa kutokana na IPTL kui-overprice TANESCO tunasema fedha zilikua za umma!!
 
Wewe umelipwa Shs ngapi kutoka kwenye fuko la Escro account? Mbona unaelekea kuwa wewe ni Werema uliyeonekana umenywea kwenye mjadala wa Bunge jana, au Mh. Pinda aliyeonekana kupwaywa na nguo alizovaa ghafla.
Umechelewa sana, hata hao unaojaribu kuwakingia kifua watakushangaa jinsi usivyokwenda na wakati.
Subiri uone mjadala utakapoanza rasmi ndani ya Bunge. Pole sana.
 
Zimetoka wapi hizi fedha?
halafu mleta Mada unajua unaniudhi Sana wewe? Halafu una dharau Sana yamkini wewe ni yule waziri mwenye majigambo na dharau Sana. Iweje watu wagawane Pesa. Huoni ni ishara kuwa Kuna namna wamesaidia ukwapuaji huo???? Ujue watz Wana hasira! Ficha ujinga wako.
 
Tatizo lako umetafuta taarifa nusu ukaact. Kibaya tu ni kwamba ume act ukijifanya mjuaji kumbe mnywanywa tu. Tafuta taarifa kuhusu judgement ya ICID juu ya monthly capacity charges halafu anzia hapo ndo utajua hizi hela ni za nani.
 
Mara nyingi watu wanaobandika mada kama hizi huwa hawaonekani kwenye mtiririko wa uzi wakitetea walichoandika...

Yaani ni kama vile mtu anakuwa kanakili mahali na kuja kubandika hapa hiyo nakala...
 

"I will not let anyone walk through my mind with their dirty feet" Mahatma Gandhi.
 
kimtokacho mtu ndicho kimjaacho. umejaa ujinga ndo maana umeutoa. usidhani watz ni wajinga. you can fool all people BUT you can not fool them all the time.
 
Nipo na ninandelea kufuatilia. Nikimbie nini? Kwakuwa suala hili limejaa ushabiki na hisia, ni ngumu sana kujibizana na halaiki yenye hasira juu ya jambo wasilolifuatilia kwa kina wala kutaka kujua hoja, vigezo na kanuni.

Jamani mwenye hoja na taatifa za uhakika kuwa fedha hizi ni zauma atiririke hapa. Nitafurahi kupata taarifa zinazoainisha bayana kuwa fedha zile zilikuwa za umma. Mimi si shabiki wa kutafuta ushindi. ukiwa na hoja na vigezo bayana na vya kweli sikawii kubadili msimamo.

Nielekezeni, hela hizo ni za umma kivipi? IPTL haijauza umeme TANESCO? Au walilipwa kwa namna nyingine?

Matusi ni dalili ya utepetevu wa ki fikra. Toeni hoja. Najua katika hili mtanikejeli sana lakini nasubiri taarifa zenu

Mara nyingi watu wanaobandika mada kama hizi huwa hawaonekani kwenye mtiririko wa uzi wakitetea walichoandika...

Yaani ni kama vile mtu anakuwa kanakili mahali na kuja kubandika hapa hiyo nakala...
 
Whiteberry uungwana wako uko wapi? Ujinga si tusi maana ni kukosa maarifa? Lakini kuhusu Escrow money taarifa nilizozifuatilia zinaonyesha kuwa ni mali ya IPTL. Wewe kama una taarifa kuwa fedha hizo ni za umma nijulishe. Nitafurahi sana tu. Nitakushukuru pia

kimtokacho mtu ndicho kimjaacho. umejaa ujinga ndo maana umeutoa. usidhani watz ni wajinga. you can fool all people BUT you can not fool them all the time.
 
Yaani mleta mada km tungekuwa tunaonana ana kwa ana,ningeshakuharibu sura kabisa na kwa hasira nilizonazo juu yako ningekufanyia hadi 0713..! Nyambaf...u kabisaa!!
 

Yaani wewe mbululaa kama umetumwaa au umelipwaa usemee,i dont See your point
 
Kwenye ripoti ya GAG IPTL imelipisha serikali zaidi ya Tsh 300b zaidi ya pesa ambayo wangetakikwa kulipwa Overbill! hivyo hata kama account haikuwa ya serikali ni ndogo kuliko deni la IPTL. Pili ni kwanini huyo mmiliki katoa pesa kwa wabunge
 
Wewe ni mjinga sana hapa tumeibiwa kihalali naweza kusema hivyo.ndio tanesco wameuza umeme ila kwa bei gani? Hii imefanyika hapa ni black market Na ndio maana cag Na takukuru wakatoa taarifa Yao baada ya uchunguzi uliofanyika. Mtatetea Sana lakinni ukweli upo wazi tumezidiwa nguvu Na watu wachache Na ndio sababu mkaanza kugawana fedha hovyo mnalipia harusi kwa mabilioni hivi mnaona watanzania wajinga Sana enhee?
 
Unataka kusema watazania wote pluc wasomi wa nchi hii na wabunge pluc na nchi jiran wote hawajui ila ww ndo unaijua sana hyo escrow au cjakuelewa mkuu
 
Duh!!! jamaa kaweka MAVI yake hapa na kuingia mtini hajajibu hoja hata moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…