Fedha zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL (Tegeta Escrow account), ni mali ya umma

Hahah…wamekulipa uje na maigizo sio…?? we una interesr gani hadi ufuatilie hizi habari out of curiosity kumsafisha huyo sura mbaya na wezi wenzie?

Hatuna muda wa kukueleza chochote coz tunataka kudeal na mwenye mbwa! wewe endelea kubweka tuu!!

Nadhani kachelewa. Alipewa fungu siku nyingi kajikuta anatimiza jukumu wakati kumekucha
 
Kwenye ripoti ya GAG IPTL imelipisha serikali zaidi ya Tsh 300b zaidi ya pesa ambayo wangetakikwa kulipwa Overbill! hivyo hata kama account haikuwa ya serikali ni ndogo kuliko deni la IPTL. Pili ni kwanini huyo mmiliki katoa pesa kwa wabunge

Overbilling si hoja kwasababu inaweza kutokana na makubaliano yao ya awali. Hilo la pili hata mimi limenishtua

But kama serikali au TANESCO wanaidai IPTL Hilo ni suala jipya ambalo wanatakiwa kuendelea kudaiana. Vina uhusiano gani na fedha ya escrow ambayo iliwekwa huko kutokana na mgogoro wa wabia wanaoiunda IPTL? Labda uniambie kuwa escrow haikufunguliwa kwa lengo hilo
 
Unataka kusema watazania wote pluc wasomi wa nchi hii na wabunge pluc na nchi jiran wote hawajui ila ww ndo unaijua sana hyo escrow au cjakuelewa mkuu

Namaanisha kuwa mambo si bayana. Wewe unasababu zozote za kisema pesa za escrow ni za umma? Mimi nilifuatilia ili kujua ukweli. Kama una vigezo nitafurahi kuvisikia. Maadam visiwe vya kejeli wala matusi
 
Nadhani kachelewa. Alipewa fungu siku nyingi kajikuta anatimiza jukumu wakati kumekucha

Ni mapenzi sahihi, ya kizalendo kwa nchi yangu. Ukweli mnaujua? Tupeni basi. ushabiki hausaidii
 

Wewe ni mpuuzi tu unastahili tu kupuuzwa kama wengine wanaoleta mada za kipuuzi wanavyopuuzwa. Bring back our Escrow monies, you FISADIS
 

Kujibu hoja kwa Matusi ni dalili ya ugonjwa wa kudumu wa kiakili na kifikra. Pengine Umedumazwa na mapicha ya ngono uliyokuwa unayaangalia toka ukiwa mdogo.. kwa hilo pole sana.

Ila hujatoa hoja wala taarifa mbadala kuwa fedh ya escrow ni ya umma kwa vigezo vipi. Jifunze unyamavu hasa kama huna hoja. Fedha za escro ni za IPTL
 
Kwenye ripoti ya GAG IPTL imelipisha serikali zaidi ya Tsh 300b zaidi ya pesa ambayo wangetakikwa kulipwa Overbill! hivyo hata kama account haikuwa ya serikali ni ndogo kuliko deni la IPTL. Pili ni kwanini huyo mmiliki katoa pesa kwa wabunge
Kuna balozi wa UK anatetea Standard Chartered Bank .....
Huyu unamuelezeaje?
 
Kwa mara ya kwanza tokea sakata hili lianze, leo ndiyo nimefunguka macho. Ukweli kabisa bila ushabiki pesa hizo si za umma kama tunavyodanganywa. Suala hili limekuja wakati mbaya ambapo kuna wengine wanataka kujiimarisha kisiasa kupitia hoja hii kwa ajili ya uchaguzi ujao. Nionavyo mimi tusubiri tu tutaona kila kitu.
 
Tunaomba hzo nyaraka ulizozipitia uziweke hapa ili na sisi tujiridhishe kuwa pesa sio zetu bali ni za hao unaowasema!!
 

haa ha ha ha ha! una akili nyingi, yaani shetani mmezidiana kidogo tu!
 
Huko nyuma umeulizwa...je unajua maana ya ESCROW?
Donald Rumsfeld said:
  1. There are known knowns. These are things we know that we know.
  2. There are known unknowns. That is to say, there are things that we know we don't know.
  3. But there are also unknown unknowns. There are things we don't know we don't know.
titomganwa kwa kiasi fulani nadhani umenata hapo kwenye No. 3, umeshupaa...hujui kuwa hujui!
 

Tatizo niwachache sana wanaoutafuta ukweli. Wengi wapo kishabiki hivyo ni rahisi kuangukia au kudandia taarifa za kizushi. Wanasiasa kwao huu ni mtaji n ni sababu ya kujipatia umaarufu. Sijui kama bunge litatoa mwelekeo sahihi wakati lineshagawanyika katika makundi lukuki ambayo ni hasimu
 
Yaani wewe ni mbwa kabisa, huna hata aibu kuja kutetea utumbo hapa. Umejifanya kuandika as if una upeo na unajua details zote za hii scandal kumbe huna unachojua! Mijitu kama wewe kama ipo mingi hii nchi haitakaa iendelee! Huna huruma watoto wetu wanakaa chini, wamama wajawazito wanalundikwa wodini kama wadudu, madawa hospitalini hakuna watu wanakufa kwa kukosa dawa halafu unatetea wizi mkubwa kama huu! Shenz type!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…