Nitamchangia[emoji419][emoji375]Baada ya Club ya Yanga kumuandikia barua ya wito Feisal Salum iliyoambatana na mashtaka dhidi yake mchezaji huyo amejitokeza, na kueleza wazi kuwa atapeleka kesi yake CAS kwani amenyimwa haki yake ya kuvunja mkataba na TFF!
Ameomba achangiwe na wote wenye mapenzi mema ili aweze kupata fedha kwa ajili ya kufungua kesi, mawakili wake watafanya kazi bure!
Kwa yeyote mwenye chochote anaweza kumsaidia kupitia Lipa namba 5406394 Feisal Salum.
Haya sasa huu mtanange nani mshindi huko CAS…!? Yetu macho cha msingi tumpe dogo mpunga!
Mtoto mpumbavu Sana huyu akili Hamna hata kidogoUjinga mtupu.
Hao CAS nao mnawaona wajinga hivi eti?
Huyu hata aende jehanamu hawezi sikilizwa. Hakuna mtu atakuruhusu uamke asubuhi eti sababu kajitokeza tajiri akupe hela basi uvunje mkataba katikati ya msimu.
Feisal unadanganywa na unadanganyika kindezi sana dogo.
Kitu kimoja ukumbuke, mwisho wa siku ni wewe ndio unaathirika na si mawakili wako, si Fatma Karume wala sio mashabiki wa kolowizad wanaokujaza ujinga. Hao niliowataja kila mtu yuko na ajira yake mind you!
Kweli dogo tapeli, mkononi ana milioni 112 ya kuvunjia mkataba halafu anaomba mchango wa kufungulia kesi??Atumie ile milioni mia aliyotaka kuvunjia mkataba,au wenyewe walishaichukua waliomtuma?
Mshahara upi? Mnawajua Yanga nyie? Mchezaji haondoki Yanga hadi kwa kesi na malumbano viongozi wa hii timu ni wa hovyo Sana halafu wanarithishana hii tabia ya hovyo ya kung'ang'ania wachezaji, mchezaji kachoka/kavunja mkataba awalipe kwa kukiuka mkataba aende zake sio kujidhalilisha namna hii, Mimi nilijua wamepata Engineer labda ataleta mabadiliko kumbe walewale Tena anasema anapeleka mshahara unarudi [emoji44][emoji44] wamwache aondokeMshahara anarudisha kila mwezi
Childish comment, by doing so Yanga will be setting precedence that will bite them in future.
Dogo sio lazim u-
Naongea kimichezo mkuu siongelei ushabiki nilichoandika kina maana kubwa kuliko ulivyokibeba niishie hapo.Kwamba mshahara wa milioni 4 kwa mwezi ni ndogo? Halafu unakuta mtu anayeongea hayo mshahara wake amezidiwa na Feisal zaidi ya mara mbili.
Mshahara upi? Mnawajua Yanga nyie? Mchezaji haondoki Yanga hadi kwa kesi na malumbano viongozi wa hii timu ni wa hovyo Sana halafu wanarithishana hii tabia ya hovyo ya kung'ang'ania wachezaji, mchezaji kachoka/kavunja mkataba awalipe kwa kukiuka mkataba aende zake sio kujidhalilisha namna hii, Mimi nilijua wamepata Engineer labda ataleta mabadiliko kumbe walewale Tena anasema anapeleka mshahara unarudi [emoji44][emoji44] wamwache aondoke
Haya mambo ya kuoneana huruma ndo yameharibu sekta karibu zote hapa nchini.....watu wanaiba, wanahujumu, wanakiuka kila aina ya taratibu kwa manufaa yao! Acha kwenye hili iwe fundisho kwa mengine na wengine pia!Yanga ni Taasisi ila wangeachana na hii ishu ya Faisal wamwambie aendelee na maisha yake amekosea ila sio kipindi cha kukomoana dogo alikosea na hajui kuwa kakosea waachane nae kuliko hizo mambo zinakokwenda...
Singano,Yondani waliondokaje Simba au ndiyo nyie vitoto vya 2005?Mshahara upi? Mnawajua Yanga nyie? Mchezaji haondoki Yanga hadi kwa kesi na malumbano viongozi wa hii timu ni wa hovyo Sana halafu wanarithishana hii tabia ya hovyo ya kung'ang'ania wachezaji, mchezaji kachoka/kavunja mkataba awalipe kwa kukiuka mkataba aende zake sio kujidhalilisha namna hii, Mimi nilijua wamepata Engineer labda ataleta mabadiliko kumbe walewale Tena anasema anapeleka mshahara unarudi [emoji44][emoji44] wamwache aondoke