Kiufupi ni muungano wa kulazimishana ndo unapeleka haya.Leo KMKM ya nchi ya Zanzibar ilikuwa inacheza na timu ya Al Ahli Tripoli kwenye Mashindano sawa na Simba na Yanga. Kimantiki Zanzibar ina hadhi sawa na TFF kwenye mashindano haya ya CAF na uanachama wa CAF.
Kwa ivo Ligi iliyoitoa KMKM ndiyo ligi aliyokuwa anacheza Feisal Salum, kwa CAF, Ligi ya Tanganyika na Zanzibar ni Ligi mbili tofauti.
Jee Yanga ilifuata Kanuni za kuhamisha wachezaji wa kimataifa?
Na hili ni kosa la kuchukulia mambo kikawaida (For Granted). TFF wanaidharau ZFF nakuona kwamba ni kama chama cha mpira cha mkoa. Lakini mbele ya CAF, TFF na ZFF zote zina hadhi sawa!!Na hii nadhani itavihusu vile vilabu vyenye wachezaji wa nchi ya Zanzibar kweny vilabu vyetu, je Ile idadi ya wachezaji 12 wakigeni inahusisha na hawa wa nchi ya Zanzibar? Maana naona timu zimesajili wachezaji 12 kutoka mataifa yakigeni huku wakisahau kama wale wazanzibar pia ni wachezaji wakigeni.. Mbona timbwili ni kubwa sana hili mkuu
Kimenuka !!Feisal Salum Mchezaji wa Yanga leo nimegundua kumbe alikuwa anacheza kwenye Ligi ya Nchi ya Zanzibar ambayo pia ni mwanachama wa CAF. Kwa mujibu wa Kanuni za CAF mchezaji anapotoka Ligi ya nchi moja kwenda ligi ya nchi nyingine, hutakiwa kuwa na uhamisho wa Kamataifa kwa mchezaji kama huyo.
Jee Yanga ilimhamisha Feisal Salum kimataifa na kuijulisha CAF kwamba mchezaji huyo alikuwa anacheza kwenye Ligi ya nchi ya Zanzibar?
Umeshindwa kufanya "Doctoring" unataka kuleta "Spinning" ya hoja.Kwamba Fei ni Rais wa Zanzibar!
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!Mkuu ushauri wangu, baada ya game ya marudiano la Yanga, wasiliana na timu inayopangwa kucheza na Yanga hatua inayofuata uwape ushauri wa kisheria.
Wanaweza kupita hiyo round bila kucheza nao na unaweza kupiga pesa ya kutosha kwa kuwaokolea gharama. Nchi hii tupo nyakati inabidi ujiangalie mwenyewe tu na utafaidikaje na suala zima.
Ubaya ubaya tu sasa hivi,hil lazima CAF walitazameHa! Ha! Ha! Ha! Ha!
Mzee umeiona Fursa!!
Hoja nyingi fikirishi na za maana katika nchi hii huanziaga hapa JF. Na hii tutakomaa nayo hadi kieleweke,tuache kufanya mambo kwa mazoea,lazima sheria na kanuni zifuatwe. Hao TFF hawezi kutoa jibu kwani na wenyewe wamechemsha,hili tunalifikisha CAF ndiyo watanyoosha maelezo na kutoa mwongozoMkuu unahangaika sana na mjadala wako ila kwa kifupi humu uwezi pata jibu.
We nenda TFF pale na hii hoja yako utapata majibu sahihi ila humu utaleta kila maelezo na hautapata ufafanuzi.
Nashukuru kwa ushauri wako.Mkuu unahangaika sana na mjadala wako ila kwa kifupi humu uwezi pata jibu.
We nenda TFF pale na hii hoja yako utapata majibu sahihi ila humu utaleta kila maelezo na hautapata ufafanuzi.
Kuna mambo yaki muungano hayapo sawa na tatizo halipo kwa Yanga bali tatizo linaanzia kwenye katiba yetu kisha inakuja mpaka kwa TFF.Hoja nyingi fikirishi na za maana katika nchi hii huanziaga hapa JF. Na hii tutakomaa nayo hadi kieleweke,tuache kufanya mambo kwa mazoea,lazima sheria na kanuni zifuatwe
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kama huna majibu bora ukae kimya.Mtu kashiba makande huko anakuja kuandika upopoma hapa JF kisa tu ana uhuru wa kuandika anachojiskia
Sawa ila una uhakika Zanzibar ni mwanachama wa CAF?Hoja nyingi fikirishi na za maana katika nchi hii huanziaga hapa JF. Na hii tutakomaa nayo hadi kieleweke,tuache kufanya mambo kwa mazoea,lazima sheria na kanuni zifuatwe. Hao TFF hawezi kutoa jibu kwani na wenyewe wamechemsha,hili tunalifikisha CAF ndiyo watanyoosha maelezo na kutoa mwongozo
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app