Ni mwanachama wa CAF ila sio mwanachama kamiliSawa ila una uhakika Zanzibar ni mwanachama wa CAF?
Maana inafikirisha kwa upande wa vilabu kupewa nafasi ya kushiriki michuano inayosimamiwa na CAF huku timu yao ya Taifa ikinyimwa nafasi
Kama sio mwanachama kamili basi hoja zote zinakufia hapoNi mwanachama wa CAF ila sio mwanachama kamili
Kwani Ligi ya Tanganyika inaitwaje?Aisee!! Hii nayo kumbe ni Kero??
Zanzibar wana ligi yao na Tanganyika wana ligi yao. Ligi ya kule mwiko kudhaminiwa na makampuni ya pombe huku kwetu TBL ilishawahi kuwa mdhamini mkuu wa Ligi ya Tanganyika. Kwa ivo Yanga ilifuata Kanuni?
NBC Premier League. Na timu zinazoshiriki nimeweka hapo juu na za ligi ya Zanzibar (Zanzibar Premier League) nazo nimeweka.Kwani Ligi ya Tanganyika inaitwaje?
Kwani kule Zenji wanatoa timu ngapi kwenye michuano ya CAF?NBC Premier League. Na timu zinazoshiriki nimeweka hapo juu na za ligi ya Zanzibar (Zanzibar Premier League) nazo nimeweka.
Moja na mwaka huu ni KMKM inashiriki!!Kwani kule Zenji wanatoa timu ngapi kwenye michuano ya CAF?
Haina mashiko kwa mfano wa uskochi? Unajua kwamba ligi zetu zote mbili siyo "Professional" bali ni "Amature"? Wewe unazungumzia ligi zisizofanana kabisa.Hoja aina mashiko inamaana wascotch hawachezi London?
Basi lile ni tawi la Tanganyika, wangetoa timu mbili moja klabu bingwa na nyingine ni shirikisho basi tungejua CAF wanaitambua kama ina mamlaka kamili hivyo Zanzibar ipo chini ya mwamvuli Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Moja na mwaka huu ni KMKM inashiriki!!
Hapana, kwenye Shirikisho ipo Kipanga.Basi lile ni tawi la Tanganyika, wangetoa timu mbili moja klabu bingwa na nyingine ni shirikisho basi tungejua CAF wanaitambua kama ina mamlaka kamili hivyo Zanzibar ipo chini ya mwamvuli Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wanatoa timu moja klabu bingwa na nyingine shirikisho. Kmkm klabu bingwa na Kipanga yupo shirikishoMoja na mwaka huu ni KMKM inashiriki!!
Uhalisia ni upi? KMKM iinashiriki mashindano ya Klabu Bingwa Afrika ama haishiriki? Jee Kipanga inashiriki Mashindano ya Kombe la shirikisho Afrika ama haishiriki?Haya ni maelezo yashawahi kutolewa na Rais wa CAF kipindi hicho 2017 pale Zanzibar alipopewa uanachama na kunyang'anywa baada ya miezi 4
Zanzibar has had its membership of the Confederation of African Football (Caf) rescinded just four months after the island was accepted as a member.
Nafasi hizo wamepata ni kama. Upendeleo tuUhalisia ni upi? KMKM iinashiriki mashindano ya Klabu Bingwa Afrika ama haishiriki? Jee Kipanga inashiriki Mashindano ya Kombe la shirikisho Afrika ama haishiriki?
Thread closedKuna mambo yaki muungano hayapo sawa na tatizo halipo kwa Yanga bali tatizo linaanzia kwenye katiba yetu kisha inakuja mpaka kwa TFF.
Ni ruksa ruksa tu,
- mtu kutoka Zanzibar ni ruksa kuja Tanzania kufanya kazi ya aina yoyote ile bila kibali
- Ni ruksa kumiliki ardhi bila ya kuwa sharti lolote
- Ni ruksa kuwa raia wa Tanzania bara ili mradi tu upo Tanzania bara.
Wakati upande wa Zanzibar wametuwekea sheria kali watu wa Tanzania bara a.k.a machogo.
Hili ni kosa la kikatiba, na sio Yanga tu bali ni timu zote zinazoshiriki ligi kuu Tanzania bara hakuna mchezaji wa Zanzibar aliyekatiwa kibali. Simba wana Ally Salim pia, shida ni mfumo wetu wa katiba imewachukulia kama wazanzibar kama ni sehemu yetu japo wao wazanzibar hilo ujinga kwa nchini kwao hawataki kuusikia.
TFF nao ikaja kuchukua mfumo huo huo wa mapungufu ya kikatiba hivyo imebariki huo muingiliano wa wachezaji kutoka Zanzibar kutokana na hali ile ile iliyokuwepo kikatiba.