TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,914
- 9,472
Sasa tatzo la yanga hapa lipo wapi!? Fei si aende akakutane na yanga kama watampiga hizo faini si fresh tu? Kwann hataki kwenda?! ..Kinachokuja kuleta utofauti ni consequences, kwa mtu aliyevunja kiholela kunakuwa na adhabu ya faini pamoja na kifungo. Lakini mkataba lazima uvunjike
Huo mkataba unaosema ww ni lazim uvunjike yanga ipo tayari kwa hilo na TFF kama wenye dhamana ya kusimamia mpira wameshatoa muongozo kwamba Fei akamalizane na mwajiri wake(ambaye nao wana nia ya kuvunja huo mkataba kama wenyewe wanavyosema) Fei hataki kwenda kuuvunja analazimisha kuuvunjia kwenye kamati ambayo maamuzi yao yameshafungwa na sheria "functus offico" means option ni mbili tu zilizobaki aende CAS au Akamalizane na yanga
Yanga wanamuita kila siku hataki unataka asaidiweje huyu?