WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Huna Akili kama mama Ake Fei.....[emoji1787][emoji1787]Anapotea wapi si mumuache kama sio shobo mgando ni nn?[emoji28][emoji28][emoji23]
Timu nzima na wafuasi wake wote vilaza ..Haya wewe unanufaika na nn unaishi Tandale ndani ndani muache dogo wa watu akapate pesa.
Nyongeza ya mshahara ni lazima?Umeona vipengele vya mkataba au shobo ?
kwa hiyo kudai kuongezewa mshahara alikuja kudai kwenu ? yeye alienda mpaka kuonana na uongozi ndo ikashindikana.
Mkataba unavunjika rudi shule usiwe mpumbavu 😂😂Huna Akili kama mama Ake Fei.....[emoji1787][emoji1787]
Mikataba sio ujinga .....endeleeni kushupaza shingo
si hamtaki na yeye kaona asitishe huduma !Nyongeza ya mshahara ni lazima?
Hela za huruma zilitolewa kipindi cha bakuli, mlipiga kampeni kwenye tv kila time kulikuwa kuna maandishi yanayosomeka changia Yanga.
Mikataba havunjiki kwa Akili za kijinga kama zenu...Mkataba unavunjika rudi shule usiwe mpumbavu [emoji23][emoji23]
Sasa kama anajua anaenda shindwa CAS na bado atatakiwa lipa fine kwa nini asirudi mezani wayamalize aende timu anayotaka.?Wanasheria wanavyomdanganya ni kuwa, ni kweli atashindwa kesi CAS, ila kwa vile Mchezaji hana furaha na Team yake, Watavunja Mkataba wake kwa yy kupigwa Fine, then hiyo Team inayomtaka itamlipia fine basi.
Kanuni zipi maana hata mkataba hajawahi kuoana unapiga kelele😂😂.Mikataba havunjiki kwa Akili za kijinga kama zenu...
Sheria, kanuni, taratibu na vitu vya aina hii vikiiukwa labda.....mengine kaleni ugali na Sukari,[emoji23][emoji23]
Changia tena basi.....Kipindi cha bakuli tulijitolea kuichangia Yanga japo tulijua most of you hamna akili except for two people
Kanuni zakuvunja mkataba zilizoainishwa na FIFA unazijua?
Huyo mwehu Fei ana profile ya kumfikia Aziz K...??Kanuni zipi maana hata mkataba hajawahi kuoana unapiga kelele[emoji23][emoji23].
Nyie mnataka kumkoa hamna la maana eti Yule Azizi k apewa mil 26 then Dogo apewa 4 mna akili kweli?
Ulivyokuwa kilaza unashabikia huku Aziz k kwa kazi anayofanya pale Yanga?
Hapana, weka na vifungu mkuu.Kanuni zakuvunja mkataba zilizoainishwa na FIFA unazijua?
Mshamba nn huyo Azizi k Nyie wajinga ndo mnamuona mchezaji wa maana .Huyo mwehu Fei ana profile ya kumfikia Aziz K...??
Kamtu kametokea unguja huko kakacheza singida united....tena kaka letwa Yanga kwa shukrani za Mwigulu ndio kamshinde mshahara Aziz...
Kwa cv Gani !? Umerogwa sio Bure!!?
Hana Thamani hiyo,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna kusepa kihunj we mama....taratibu lazima zifuatwe...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mshamba nn huyo Azizi k Nyie wajinga ndo mnamuona mchezaji wa maana .
Maana ndo akili zenu zimefikia mwisho ...Cv ya nyoko mtu si anataka kusepa si mumpe ruksa asepe!
Huoni kama nyie ndo ving'ang'anizi ?
Tafuta pesa kijana muache mtu apambanie maslahi yake.Hakuna kusepa kihunj we mama....taratibu lazima zifuatwe...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama mnamtaka nendeni Yanga pale mtauziwa hata Bure..... Mbumbumbu [emoji24] mnashindwa nini!?
We Bora utafute bwana uolewe....huna unachojua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tafuta pesa kijana muache mtu apambanie maslahi yake.
Wewe na elimu yako ya uwizi wa mitihani hamna kitu unajua na unashindwa kupambania maslahi yako kwa uoga.
Ona ulivyokuwa hanithi na mambo ya umbea utakuja kuliwa mande😂😂We Bora utafute bwana uolewe....huna unachojua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kanuni zakuvunja mkataba zilizoainishwa na FIFA unazijua?
We olewa tu banah[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huna unachojuaOna ulivyokuwa hanithi na mambo ya umbea utakuja kuliwa mande[emoji23][emoji23]
Ni wewe tu ume admit ila ukweli ni kwamba wengi humu hawajui.Hapana, weka na vifungu mkuu.