Kila Yanga inapokuwa kwenye matayarisho ya mechi muhimu lazima Feisal akiubuke kwa kifupi kuna kundi linamtumia lakini baadae watamtosa..
Haki ya nini , dhidi ya nani, kwa sababu gani, lini na wapi?Kwahiyo mtu kudai haki yake ni kukosa akili ???
Huu nao ni aina nyingine ya.... mbavWasiokuwa na akili ni utopolo mchezaji hataki kubeba vibuyu bado mnamlazimisha mwambieni mganga wenu achague mchezaji mwingine ambebeshe mizigo
Una uhakika gani kwamba hawajakubaliana?Mutual agreement inafanyika kwa pande Moja ya mkataba!? Yaani mtu mmoja anaweza fikia mutual agreement bila kukutana na pande nyingine na kufika muafaka....?![emoji16]
Jamaa wa ajabu kweli.....!
Izo option zipo wapi? unazijua ?Sijaona popote Yanga wakisema Feisal lazima achezee Yanga, wao wametoa options ambazo ndio zinatakiwa kufuatwa pale inapoitaji kuvunja mkataba.
Acha kuwa mtu mpumbavu
Wangekubaliana huyo mjinga angekuwa anaomba michango ya kwenda CAS...!?Una uhakika gani kwamba hawajakubaliana?
Una hakika kabla ya hapo hajaenda?Mutual agreement inafanyika TFF? Kaambiwa aende klabuni kwake wakavunje mkataba hataki wamfanye nini?
Nan kaanza kwenda CAS?Wangekubaliana huyo mjinga angekuwa anaomba michango ya kwenda CAS...!?
Pesa unaweka kwa account bila kujulisha pande nyinge nia yako....thus why wakamrudishia...hakuna na HAKUKUWA na mutual agreement baina Yao.....Izo option zipo wapi? unazijua ?
kwa hyo kurudisha zile pesa alikuwa ni chizi hajui masharti ya kuvunja mkataba?
Hamna unachojua feisal aliomba nyongeza ya mshahara na pia kutaka kuvunja mkataba.Pesa unaweka kwa account bila kujulisha pande nyinge nia yako....thus why wakamrudishia...hakuna na HAKUKUWA na mutual agreement baina Yao.....
Kuvunja mkatabaHaki gani? na Ipi anayodai Feisal....
Hajui TARATIBU za kufuata....mpaka afanye utovu wa nidhamu dhidi ya mkataba aliosaini kwa hiari yake....!?Kuvunja mkataba
Kwani mkataba wake unasemaje mkuu? Si mwaka kesho angeomba kubadilisha huo mkataba bomu alokuwa nao?Azizi ki Mtokea Benchi alipwe Milioni 24.
FEI mpambanaji ALAMBE Milioni 4
Haya mchangie aende huku CAS mkatolewe ujinga ...Hamna unachojua feisal aliomba nyongeza ya mshahara na pia kutaka kuvunja mkataba.
Feisal anajua vipengele vyote vya mkataba wake..Wanachotaka kufanya ni dhulma na kumkandamiza ndo maana wengi mnakufa vifo vibaya kwa dhulma.
Ok... Haki ya kuvunja mkataba anayo au hanaHajui TARATIBU za kufuata....mpaka afanye utovu wa nidhamu dhidi ya mkataba aliosaini kwa hiari yake....!?
Kwani uliambiwa unachangia wew na ukoo wako?Haya mchangie aende huku CAS mkatolewe ujinga ...
Haki anapata wapi wakati masharti ya mkataba wake yametekelezwa kwa asilimia mia na upande wa pili!!?Ok... Haki ya kuvunja mkataba anayo au hana
Huna Akili ka FEI.....shupazeni shingo zivunjikeKwani uliambiwa unachangia wew na ukoo wako?
AiseeWasiokuwa na akili ni utopolo mchezaji hataki kubeba vibuyu bado mnamlazimisha mwambieni mganga wenu achague mchezaji mwingine ambebeshe mizigo