Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Mutual agreement inafanyika kwa pande Moja ya mkataba!? Yaani mtu mmoja anaweza fikia mutual agreement bila kukutana na pande nyingine na kufika muafaka....?![emoji16]

Jamaa wa ajabu kweli.....!
Una uhakika gani kwamba hawajakubaliana?
 
Sijaona popote Yanga wakisema Feisal lazima achezee Yanga, wao wametoa options ambazo ndio zinatakiwa kufuatwa pale inapoitaji kuvunja mkataba.
Acha kuwa mtu mpumbavu
Izo option zipo wapi? unazijua ?

kwa hyo kurudisha zile pesa alikuwa ni chizi hajui masharti ya kuvunja mkataba?
 
Izo option zipo wapi? unazijua ?

kwa hyo kurudisha zile pesa alikuwa ni chizi hajui masharti ya kuvunja mkataba?
Pesa unaweka kwa account bila kujulisha pande nyinge nia yako....thus why wakamrudishia...hakuna na HAKUKUWA na mutual agreement baina Yao.....
 
Pesa unaweka kwa account bila kujulisha pande nyinge nia yako....thus why wakamrudishia...hakuna na HAKUKUWA na mutual agreement baina Yao.....
Hamna unachojua feisal aliomba nyongeza ya mshahara na pia kutaka kuvunja mkataba.

Feisal anajua vipengele vyote vya mkataba wake..Wanachotaka kufanya ni dhulma na kumkandamiza ndo maana wengi mnakufa vifo vibaya kwa dhulma.
 
Azizi ki Mtokea Benchi alipwe Milioni 24.

FEI mpambanaji ALAMBE Milioni 4
Kwani mkataba wake unasemaje mkuu? Si mwaka kesho angeomba kubadilisha huo mkataba bomu alokuwa nao?

Screenshot_20230524_190223_Instagram Lite.jpg
 
Hamna unachojua feisal aliomba nyongeza ya mshahara na pia kutaka kuvunja mkataba.

Feisal anajua vipengele vyote vya mkataba wake..Wanachotaka kufanya ni dhulma na kumkandamiza ndo maana wengi mnakufa vifo vibaya kwa dhulma.
Haya mchangie aende huku CAS mkatolewe ujinga ...
 
Ok... Haki ya kuvunja mkataba anayo au hana
Haki anapata wapi wakati masharti ya mkataba wake yametekelezwa kwa asilimia mia na upande wa pili!!?

Ila yeye ndio analeta uhuni dhidi ya Mkataba aliosaini kwa hiari yake !? na kulazimisha uvunjike bila kufuata utaratibu...

Aende Yanga apeleke au aseme timu inayomuhitaji....taratibu zifuatwe akacheze anakohitaji.....

Ni Sheria na Kanuni ndio zitavunja mkataba sio uhuni anauofanya....
 
Back
Top Bottom