Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,236
- 4,746
Sijui ni bahati mbaya ama makusudi!
Kila Yanga inapokuwa kwenye matayarisho ya mechi muhimu lazima Feisal akiubuke kwa kifupi kuna kundi linamtumia lakini baadae watamtosa..