Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Kwanini hua mnawaza haya mambo? kuna vitu ni aibu hata kuviandika tu,ukiona mtu ana andika vitu kama hivi tena bila wasiwasi with full confidence basi tambua kua huyo mtu huenda ndio michezo yake hiyo.
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji4]niwie radhi kaka ila hizo kashfa yanga zipo sana
 
Sadio mane mkataba haukuisha, aliomba aachiwe kuondoka Bayern wakaja na 20m akasepa
 
Kama unaweza kuwasiliana nae ebu msaidieni huyu dogo anapotea kakubari kua tambara la deki. Club imesha sema kwa maandishi kua kama anaondoka club zifike mezani ziweke bids basi hawawezi kataa offa zitakazo kuja.
Amesema hana team inayomtaka, ndo maana yeye aliamua binafsi kuvunja mkataba kupitia ktk kifungu kinacho dai hivyo. Sasa hayo ya team inayomtaka iende kuzungumza na yanga unaitoa wapiii??
 
Nawaambia kuna kitu kizito Fei anakificha kukisema nadhani ni cha aibu na hakina uthibitisho....so ngoja tuone kuna siku mambo yatakua hadharani.
Na kitakua wazii tyuuh hata ichelewee.
 
Labda unijuze,Baba yake Messi ana elimu gani na Mama yake Feisal ana elimu gani? na unatakiwa kua na elimu gani ili umuongoze mwanao?

Pia comment niliyoiquote haikulenga elimu bali ililenga kwa kusema "Kuhusu mtoto kusimamiwa maamuzi na Mama yake"
Kwa taarifa yako Baba yake Messi ni Mwanasheria usidhani wanafanya mambo kama ngo'mbe
 
Kwa hiyo miaka3 alikubaliana nayo na sio aliwekewa bila kujua kama alivosema. Akae zake kitaa mpaka 2024. Na ile milioni 100 alio rudishiwa haitoshi kwenda cas au fatma karume kaimaliza yote.
Haya maswali unayouliza yote kayajibu. Na hiyo m100 baadhi imetoka kwa watu wa huko huko Yanga ili aachane na Hersi na baada ya kukataliwa ameshairudisha kwa wenyewe. Na hao watu wapo tayari kumchangia tena ila akaona ngoja aje kwanza kwa watanzania lisiwe jambo la wachache. Pia ikiwa Hersi atasema ni kiasi gani kilipwe kama faini atarudi kuwaomba watu hao hao ambao wengine wapo na Hersi huko Yanga. Tatizo Hersi hataki kumwacha na pesa kutoka kwa Fei hataki anataka timu inayomtaka ije ilihali Fei anasema hakuna timu inayomtaka, na sasa hivi ndo kabisa, hakuna timu inayotaka mchezaji mwenye mgogoro wa kimkataba.

Mwishoni mwandishi alisema ukitaka kutoa judgement sahihi, achana na mapenzi na timu. Mtazame Fei na Hersi kama individuals.
 
Mchezaji anaefuata Kwa kuzuiliwa kuondoka na kunyanyasika ni Mayele. Yanga Kuna uswahili mwingi. Pole sana Fei Toto.
 
Heeee...[emoji3064][emoji3064][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]makubwaaa hayaaa kaah
Wala sio siri, hujawahi ona picha yake ya mahaba na Takadini?? Sio kwa pozi lile.
Hata bumbuli aliwahi sema hili.
 
Inawezekana.
Yaani honestly kipo kinafichwa kikubwa tu kustiri utu wa hao wawili ila twende tu ..tutajua tuu kwani Yana muda baasi!!!
Si rahisi kukataa kurudi yanga na fei sikutegemea km ataondoka Yanga miongoni mwa wachezaji wenye mapenzi na Yanga ni naweza sema anaongoza..
Na mzanzibar akisema noooo....amemaanisha NOOO Tena kubwaa
 
Reactions: Tsh
"Baada ya kuwasumbua sana ndio wakaniongezea Million 20 zingine baaae."

Mazungumzo yalikua nilipwe signing fees million 100 Kwa mkupuo, baada ya kusaini wananiambia kua mkataba unasema nitalipwa Kwa mafungu. Mkataba ni wa Kingereza na mi sikijui".
Fei aongee na nafsi yake vizuri kilichopo mbele yake siyo kizuri saaaaana
 
Sasa mbna Fei bado anabakizwaa tyuh na mshahara analipwa km kawaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio najikuliza kama umemuajiri mtu na hatimizi majukumu uliyompa, ww kama mwajiri kwanini usivunje mkataba nae, na akulipe kufidia hasara aliyokuletea.
 
Timu inakunyanyasa wakati huo huo inakupa offer ya million 30 hivi mbona nyie watu hamtumii akili?
 
Mchezaji anaefuata Kwa kuzuiliwa kuondoka na kunyanyasika ni Mayele. Yanga Kuna uswahili mwingi. Pole sana Fei Toto.
Unajua maana ya mkataba ?? Nianzie hapo kwanza. Unajua maana ya kunyanyaswa? Una elimu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…